kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,732
Hapo kwenye RED unamaanisha nini vile?Nani aliyeanzisha iyo sheria ya kushika?? Muda jangeani au tume tu iliyokula kodi yako?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye RED unamaanisha nini vile?Nani aliyeanzisha iyo sheria ya kushika?? Muda jangeani au tume tu iliyokula kodi yako?!
Kwa hiyo hapo unajiona umetoa bonge la ufafanuzi??Angeushika mwenge huku mkono wa kulia uko juu na kushoto chini, halafu kumpa mkono wa pongezi kapteni Ernest kwa kutumia mkono wa kulia, ina maana angekuwa amebakiwa kuushika mwenge upande wa chini kwa mkono mmoja wa kushoto usio na nguvu, na mwenge ungekosa balance na kuanguka au kumuangukia rais kabisa! Nadhani JK alikuwa sahihi, hata kama ni kinyume na taratibu za gwaride la mwenge.
Natazama sherehe za kuuzima mwenge hapa TBC1 kule Shinyanga.
Rais alipokabidhiwa mwenge na Capt. Honest Erenest Mwanosa, aliushika huku mkono wa kulia ukiwa chini, wa kushoto juu, wakati kinyume chake ndo utaratibu.
Je, ni kuwa hajui utaratibu au kasahau?
Najua mwenge kwa wengi wetu kwa sasa ni jambo la kipuuzi, ila nimeguswa na Rais kukiuka utaratibu.
If at all you find the very idea of mwenge not objectionable...
Kwa nini kuwe na namna moja tu ya kushika mwenge? Hususan kama kuna watu wengine wanatumia mkono wa kushoto zaidi na wengine kulia zaidi?
What's next? Mtataka kila mtu aandikie na mkono wa kulia?
Criticism zisizo na msingi zinafanya hata zile za msingi zionekane suspect. Stop crying wolf where there is none, for the day will come when you will be faced with a real wolf and people will ignore your genuine cries.
Kuna vitu vya kumsema Kikwete. This is fluff.
kwa hiyo Kikwete ni left handed?
Km umewahi kuushika mwenge, wale jamaa wakimbizaji wanapokukabidhi, wanakwambia kabisa mkono wa kulia uwe juu.
Na kumbuka, kabla ya vyama vingi, mwenge ulikuwa chini ya TANU Youth League, kisha UVCCM, na JK kakulia mle, pia ni mjeshi. Je, hakupaswa kufuata taratibu?
Km anaupuuza kwenye kuushika, basi si waufute tu na kuuhifadhi museum!
Udini tu umewajaa watanzania, subiri akiingia rais mkristo majitu kimyaaa.
Mwenge jamani si kitu kibaya, tatizo ni siasa ndani ya mwenge, mpaka leo si tunaona olimpic unavyohawasisha? Sisi wazalendo wa kweli tulipata mafunzo ya kupokea mwenge nikiwa primary miaka ya themanini.
hata angeuacha ukadondoka sawa tu huo utaratibu unaousema umeandikwa wapi?
Tanzania ni nchi pekee duniani maskini inayotumia mwenge kwa garama kubwa kuzindua miradi yenye thamani isiolingana na garama za ukimbizaji wa huo mwenge sijui uchawi. HII kitu ni ya kuchoma moto hautufai kwa kizazi hiki cha science na teknlojia
Yaani kwanza hilo limwenge na lenyewe ni lifisadi,ingewezekana likatupwe baharini kabisa maana duu,bajeti yake simchezo.
Njia za maambukizi ni pamoja na yale ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na matumizi ya vifaa vyenye ncha kali vilivyotumiwa au kuambukizwa na yule mwenye virusi kisha kutumiwa na mwingine asiye na virusi.
Je haya maambukizo katika mazingira haya ni ya kujitakia?
Raisi hana taarifa kamili.
Je anajua wenye virusi wananyweshwa ARV 'fake'?
siyo kweli watanzania tujifunie utaratibu wetu jamani isije ikawa kamam jkt baada ya kuondolewa ndo tunaona umuhimu wake kwa hamasa ya utanzania mwengu ndiyo mahali pake