Francis Jr
Senior Member
- Oct 18, 2010
- 146
- 21
kuna watu wachokozi humu jf sijui watumwa sisemi maana siwaeliwi, "Kwa hiyo anaenda kukagua vitabu vya hesabu za misikiti au bakwata?"
Atakagua vyote mpaka ruzuku zinazopewa kanisa!:second::israel:
kuna watu wachokozi humu jf sijui watumwa sisemi maana siwaeliwi, "Kwa hiyo anaenda kukagua vitabu vya hesabu za misikiti au bakwata?"
Unahisi sifahamu nini maana ya internal audit? Unapata wapi jeuri ya kunitukana na hunifahamu? Jaribu kuwa na heshima next time. Unaongea theories (Act nayo hasa ya Tanzania ni theory tu nothing more) mimi ninaongea practicals.Unajua kazi za Internal Audit au unaongea! Pitia public finance act ya 2001 kipengele namba 16:bange:
Mwislam Safi, ulamaa aneyejua kazi yake na misingi ya uislam, hongera JK kwa uteuzi huu.
Anafanya uteuzi wa maustaadh chapchap kabla katiba haijafanyiwa marekebisho kumzuia kuteua hovyo hovyo!
Anafanya uteuzi wa maustaadh chapchap kabla katiba haijafanyiwa marekebisho kumzuia kuteua hovyo hovyo!
Mbona hamkuyasema hayo Mkapa alipokuwa Raisi, au kwa kuwa alikuwa Mkristo mwenzenu!? Mfumo Kristo Bwana! Mtu anakuwa na Chuki bila sababu kwa sababu rais Muislamu! Nchi hii yetu sote rais akiwa muislamu ataamua kadri ya uwezo wake na akiwa mkristo ataamua kwa kadri ya uwezo wake!:happy:
Kikwete mdini sana kila mwenye post kubwa Mwislamu hakika huyu ni Juha Kalulu.
Kikwete mdini sana kila mwenye post kubwa Mwislamu hakika huyu ni Juha Kalulu.
Kuna thread ilipa hapa salama saana kwakuwa uteuzi ule wa Manaibu katibu Mkuu waislam hawakuonekana. Kuna haja ya kujifunza kuelezea sifa za mtu na si dini yake.Mwislam Safi, ulamaa aneyejua kazi yake na misingi ya uislam, hongera JK kwa uteuzi huu.
Hivi wewe kwa akili zako, unadhani CPA ni kila kitu. Wangapi wanaCPA lakini wanavurunda tuuu.Najua kuwa CPA ilimsumbua sana na kaipata katika utu uzima....tusubiri tuone
Wewe ndio mwehu zaidi. Pos kubwa unazijua wewe. Unamjua CAG ni nani? Na alichaguliwa na nani? Kuna mengine huyajui na wala huhitaji kuchangia. Kukimbilia kuchangia bila kujua ni kuonyesha ujuha wakoKikwete mdini sana kila mwenye post kubwa Mwislamu hakika huyu ni Juha Kalulu.
hebu tuache huu uzandiki.... udini udini udini, my foot
tuache watu wafanye kazi na sisi tusaidie taifa kwa kufanya kazi
Hivi Lowassa dini gani na rostam dini gani?? haijalishi wewe ni dini gani ila kama ni fedhuli basi utakua fedhuli na kama si fedhuli basi hautakua hivyo
twaweza kwenda kuanzia akina malima, ditto, balali, mramba
I concur with u,I think for crucial position lyk this,they should advertise so any1 with qualification can apply! Then the final 3 myb should be taken to him so he cn nominate 1 person who will b approved by the parliament! Just to stop him from nominating pple he cn control n intimidate
udini unkufanya uwe kipofu, jk hajawahi kubagua kidini si kwenye serikali au kwenye chama
haya tuangalie post kubwa ambazo rais anateua kisha ulinganishe na unachosema
1. Waziri mkuu
2. Msimamizi wa uchaguzi
3. Waziri wa mambo ya nje
4. Dpp
5. Katibu mkuu kiongozi
6. Mkuu wa kitengo cha habari ikulu
7. Nafasi aliyokuwa makamba jr
8. Nafasi aliyokuwa makamba sr
9. Mkurugenzi nhc
10. Mkuu wa jwtz
11. Cag
12. Makamo mwenyekiti ccm
13. Katibu mkuu uvccm
14. Katibu itikadi na uenezi
15. Katibu uchumi na fedha
16. Mwanasheria mkuu wa serikali
17. Mkuu wa takukuru
naomba wadau muendelezo wa post zaidi ili mwenzetu au wale wasiotaka kuelewa maana
Ni nani amesema kwamba tatizo letu ni kutokufanyika kwa audit? Hili si kweli kwani kila mwaka CAG anareport upotevu wa mabilioni na hakuna kinachofanyika, reports zake tunaishia kufungia vitumbua Kwamtogole.Tungekuwa serious kufanyia kazi reports na recommendations za CAG wala tusingehitaji ofisi mpya ya internal audit, huu ni upotevu wa pesa usio na sababu.