Rais aapisha tume ya Katiba!

Duuuuuh wafanye kazi waliyopewa kwa ufananisi tu, TBC1 wanaonyesha live nini?
 
Wajumbe wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya wanaapishwa sasa. Wadini kazi kwenu!
 
fatilieni TBC wanaonyesha live, now yule muwakilishi wa maalibino yule mama mbunge viti maalumu ndiye anaapa
 
ole wenu wasema ovyo tume hy sasa, tuitumie kwa makini na kuiamini watanzania wote
 
wananchi wawezeshwe kuisoma katiba ya sasa ili waweze kutambua mapungu yaliyopo na ndipo washiriki kikamilifu kutoa maoni yao katika undwaji wa katiba mpya
 
andika heading vizuri na tumia busara. Mi nilifikiri Kanumba kafufuka. Oovyo
 
tbc wamerudi tena... sauti inakata kata picha zinaganda...daaah hii ndiyo tv ya taifa
 
Matangazo ya TBCCM huku Arusha ni mabayaaa tunaona picha tu

tbc kimeo imegoma mitambo full mizengwe

tbc wamerudi tena... sauti inakata kata picha zinaganda...daaah hii ndiyo tv ya taifa

Full usanii, kila kitu wamejazana kirafiki bila kuwa na viwango vya kufanya kazi, its 21 century wala hawashtuki wenzetu kwa sababu hii hali inawapa mwanya wa kuendelea kutanua.
 
Back
Top Bottom