Rais aagiza Lema aachiwe kwa dhamana ya serikali

Status
Not open for further replies.
Tutajie yanayokupendeza katika hii seriakali iliyoko madarakani Mkuu! Unasoma magazeti? Unazisoma hoja hapa JF? Toka lini umejiunga? Hebu jaribu kutafuta za miaka y nyuma soma zote kwanza, labda kuanzia 2006/8 hivi halafu urudi kutetea hoja yako.

sipendi kukariri, hoja zangu natoa kulingana na wakati au suala lililopo mezani, kuhusu kujiunga kwangu jf hata kama ni leo lakini ninachochangia si mawazo ya mtu mwingine ni ya kwangu mwenyewe,, nasoma sana magazeti na kuyatafakari kwa kina natambua hoja zote zina mlengo gani na zipi hazi egemei upande mwingine,, yaliyofanywa na ccm ni mengi kwanza ni hii jf kuwa huru na mengine ambayo unanufaika nayo ambayo unayapata kwa uhuru,, hata huyo lema wako amepewa uhuru wa mdhamana kwa kuwa anacheza filamu muache akamilishe hz Clips zitakazo wasaidia katika kampeni zenu. Nina mengi ya kukuelimisha hata kama nimeingia jf leo, omba coments zangu zote hapo jf utagundua nn napenda watanzania tuwe. kwani CCM niye2 naCDM ni ye2 pia, vita yetu ni matatizo yanayoikabili nchi ye2, kwani mafisadi walipo chadema wao wana haki? Hapana tunapinga vitendo viovu popote pale ndani ya CCM , CDD, CUP , TLP, NCCR na taasiri zote. Cpendi lema andelee kukaa gerezani lakini asiachiwe kwa kuwa yeye ni Cdm afate taratibu.
 
Nitaomba kuelimishwa vizuri inawezekana sikuelewa hili tukio. Nilisikia kama kwamba Lema aligoma asiwekewe dhamana, wakati dhamana ilikuwa wazi na ni haki yake.
We dont want to use our heads...hii move imembariki Lema kuliko kumuharibia. Time and again, the guys are making the obvious mistakes of underestimating the really intentions of their political opponents.
 
Nimekuelewa lakini tambua MHe Rais hatishiwi nyau,, kama lema anavigezo vya kutoka hata sasa atatoka lakini kama hana hawezi kutoka kamwe, Na huo mkutano c wa wananchi ni wa viongozi anahusika nn lema mpaka atoke bila kutimiza masharti?

Mbona mnataka kufanya nchi itawaliwe kiholela? Au hutambui kuwa arusha ni mji wa EA Na Afrika kwa jumla na kunaWATANZANIA NA WASIO WATANZANI WENYE SHUGHULI ZAO. Kumbuka CY yote ya CCM ni mazuri na YA CDM yote ni Mazuri,Ila tufike mahala kama wana Jamii tukemee mambo yasiyopendeza katika ustawi wa Taifa letu.

Mkuu umeongea kitu cha maana sana kuhusu nchi kutawaliwa kiholela kitu ambacho kinaendelea kwa sasa. Unapokuwa na watu wenye dhamana ya kutenda haki na badala yake wana abuse power waliyopewa ni dhahiri nchi inakuwa katika LAW OF THE JUNGLE, STRUGGLE FOR EXISTENCE SURVIVAL FOR THE FITTEST, Mdogo kumla mkubwa. Zuberi anatumia vibaya dhamana aliyokabidhiwa ambayo intoka kwa rais kuonea wadogo, huu ni utawala wa kiholela. Huwezi tawala kwa kutumia GOTCHA AND DOUBLE STANDARDS, If A does is Legal if B does is Illegal.

Kutawala si kuonesha ubabe au nani zaidi hilo linajulikana wazi kuwa Authorities wana nguvu ila nguvu hizo zinakuwa legitimate pale zinapotumika katika misingi sahihi, anything out of that is an ABUSE, Katika nchi huru na inayofuata haki za binadamu, kutawala ni pamoja na kuhakikisha you are not triggering violence by provoking your citizens just because you can beat them by having an advantage of weapons or Kangaroo legal system.

Matendo kama haya yanayofanywa na polisi Arusha hayadhalilishi Jeshi zima la polisi na uongozi wa juu bali yanaondoa imani ya wananchi kwa mahakama na uongozi mzima wa nchi. HUU NDIYO UTAWALA WA KIHOLELA
 
Mpenda Tanzania!

Umenena jambo kuu na la msingi ... G Lema angeliita Jambo La UTU na UBINAADAMU.
Hoja hapa sio Lema. Hoja ya msingi ni DRIVING FORCES behind G LEMA ... Ule waraka wa Lema ukisomwa kwa makini na kwa busara ... kama unavyosema its something of next Level.

Lakini vyotevyote vile Dhana ya UTU, UBINADAMU nk vinaweza kuwa vipya Kenya, Kigali, Msumbuji nk Lakini sio hapa Tanzania. Hiyo mnayoiita next level .. ni hali ambayo imeshawahi kuisha hapa Tanzania. Its residing deep in Unconsciousness of this Country ... Na kitu kilicholala tu hapo kwenye unconsciousness kinaweza kuamshwa any time na nguvu yake .. si haba.

Ndio maana serekali inabidi kutiliamaanani ushauri huu!!

Serekali ingefanya kikao cha dharura kutathmini UTU WA TAIFA KWA SASA wala SIO USALAMA WA TAIFA ... Watafakari kwa kina na wasifanyie mzaha kinachoendeela sasa hivi . Na kama mtu Hana UTU na UBINADAMU asiiingie kwenye hivyo vikao .. Asiye na UTU na Ubinaadamu huu sio wakati wake ... Atazidiwa tu na atabebwa na mawimbi na kuishia mbali... Kwani UTU ni Utanzania wenye shina la Heshima, Upendo na Matumaini .. kikweli anachafanya G Lema Kingetakiwa kiwe kinafanywa na Serekali iliyo madarakani ... HIVYO Wamuunge mkona kwa manufaaa ya UTU WA TAIFA kwani UTU WA TAIFA UNA NGUVU KUBWA KULIKO USALAMA WA TAIFA.

Kwa taarifa ni UTU WA TAIFA ndio ulioweza Tifa hili kumshinda Dikteta Idd Amini ....vita vya kagera ..wala sio zile silhala na machachari mengine!!

Ndio, UTU WA Taifa una nguvu kubwa kuliko aliyokuwa nayo IDD Amini ... Sasa SEREKALI USIMAMIE kurejea kwa UTU wa Taifa uliozoroto sana sasa hivi kwani mbegu ipo na inafuta pa kutokea .. Serekali iache kukimbizana na Lema tu, Ijitizamishe kuhusu UTU WA TAIFA LA TANZANIA.

Huuu ndio ukweli mkuu,Viongozi wetu wamekosa utu na kuzalisha utumwa.
Polisi na mahakama wamekuwa watumwa kwa wakuu wa nchini kwa kutumikishwa bila kujali utu wa mwanadamu.
Je aliii dunia nzima imesikika kuwa mbunge kajipereka jera.
Sasa amani na utulivu tunaoimba huko wapi.?
Kila siki mtanzania anakufa kwa kukosekana utu.?
 
wewe unafikiri ni lema2 anayetakiwa kuhurumiwa mpumbavu huyo, Rais haangalii lema chadema wala ccm yake, yeye anafuata utawala wa sheria na kama hamuamini ujinga mnaoutaka fanyeni kiburi chenu mbele ya sheria muone kama hamtamsahau huyo lema wenu humo, au sheria ziko mifukoni mwenu?. C anajifanya mandela muacheni akae humo tuje tumpe nchi basi.

Hilo jina lako kwetu maana yake ni mwendawazimu asiye na dini yaani mshenzi. sioni ajabu maana unaendana na jina lako.
 
Huuu ndio ukweli mkuu,Viongozi wetu wamekosa utu na kuzalisha utumwa. Polisi na mahakama wamekuwa watumwa kwa wakuu wa nchini kwa kutumikishwa bila kujali utu wa mwanadamu. Je aliii dunia nzima imesikika kuwa mbunge kajipereka jera. Sasa amani na utulivu tunaoimba huko wapi.? Kila siki mtanzania anakufa kwa kukosekana utu.?

Mzee W R,

Utu na ubinadamu ndio nguvu inayokusekena kwa viumbe wengine wote isipokuwa binadamu peke yake. Hivyo ndio utambilisho wa mwanadamu. Kiongozi yeyote inabidi kufanya kazi zake zote na kuongoza wote anaowaogoza kulelekea kilele cha juu kabisa cha UTU NA UBINADAMU kwenye jamii.

Kwa ukweli huu, Dhana hii ambayo ndio utambulisho pekee wa mwandamu haupingiki kwa Njia yeyote ile. Utu na ubinadamu ndio uliopaswa kusukuma na kutupa Uongozi wa kutukuka kwnye jamii zetu. Kama Rais akikosa utu, Waziri Mkuu akikosa utu, Waziri akakosa utu, mbunge akakosa utu , nyanja zote za kijamii na kisiasa zikosa utu ... Tutakuwa na uongoz agani. ... Taifa litakuwa limepoteza utu kama msingi wa uongozi kwani wote waliotegemewa kuogoza wamepoteza DIRA na UTANBULISHO muhimimu katika uogozi!

Kinyume cha UTU ni NINI?

Sidhubutu kukisema...

Kwani Kama Utu wa Tifa utakuwa haupo? Kama Utu katika Uogozi haupo? Nini Kitakuwa Ndio UTAIFA NA UZALENDO? Nini Kitakuwa NDIO KINAOGOZA Utaifa na Uzalendo?

Hivi Mnaaona kuwa hayo ndio madai ndani ya WARAKA WA LEMA?

HIVI HOJA HII UNAIZIMAJE? ... Labada uizime kwa kuipalilia zaidi..!!!!
 
Wanabodi,
Hii thread will remain closed until we retain authentic proof ya habari yenyewe...

Tunasisitiza kuwa, taarifa ama report ziwe za uhakika na source iwe reliable.
Pia unapoweka post yako hapa na inahitaji uthibitisho basi toa ushirikiano.

Nawatakia SAFE BROWSING...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom