Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
A salaam wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali siasa za majirani zetu kenya.nimetokea kuvutiwa na huyu waziri mkuu odinga.huyu jamaa anaonekana reformist kwa jinsi anavyo endesha siasa zake.
Kinachonipa wasiwasi ni jinsi huyu mh Odinga anavyopigwa fitina na wanasiasa wa Kenya. Watu wako tayari waungane ili mradi Odinga asitawale. Hivi ni kwanini? Je, Odinga ni dictator kama wanavyodai wapinzani wake?
Kwa maesabu ya haraka haraka naona kama vile Mr. Odinga ana kibarua kigumu kushinda uchaguzi ujao, lakini bado nina imani kwamba he is the best rais mtarajiwa.