Raia wa Ireland Wakipiga Chini Chama Kilichotawala Maiaka 14

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ni kwa sababu ya aibu ya anguko la uchumi lililopelekea nchi kuomba mkopo European Union na World Bank.

Chama kimepata 15% tu ya kura. chaliiiiiiiiiiiiiii.

Sisi huku hujisifu pale tunapopewa mikopo au kusamehewa madeni. Raia wa nchi zingine hiyo ni aibu ambayo adhabu yake ni kwenye masanduku ya kura tu.
 
Back
Top Bottom