Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

Migogoro na timuatimua ni dalili tosha ya chama kinachoyumba. Hao jamaa ndiyo walikuwa nguzo ya CHADEMA Arusha na kuwafukuza ni kujichimbia kaburi. Watajipanga, watarudi kuwpa kichapo kitakatifu hadi mjutie maamuzi yenu ya kukurupuka. Kwanza mliwapa nafasi ya kujitetea? Mlisoma mazingira ya mgogoro? Mlirekebisha tofauti?
<br />
<br />
hao waliotoa hayo maamuzi ni wanaume wanaotaka heshma co kuchzewa tu.. Co lzma waxeme wanajivua gamba. Ni matendo tu,na hao 5 wengne cjui kwa nin waliachwa,.
 
Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.

Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,

Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.

usiwe mvivu wa kufikiri CDM wanachotaka ni haki si Ulafi wa kugawana madaraka kinyume na maelekezo ya chama. Mabwegwe wenzako ccm kazi yao ni kuongezeana siku za magamba. cdm hawataki watu wengi mamluki wanataka watu wachache committed. huu ni uamuzi wa kiume
 
Migogoro na timuatimua ni dalili tosha ya chama kinachoyumba. Hao jamaa ndiyo walikuwa nguzo ya CHADEMA Arusha na kuwafukuza ni kujichimbia kaburi. Watajipanga, watarudi kuwpa kichapo kitakatifu hadi mjutie maamuzi yenu ya kukurupuka. Kwanza mliwapa nafasi ya kujitetea? Mlisoma mazingira ya mgogoro? Mlirekebisha tofauti?
nguzo ya cdm Arusha?! Unaifahamu cdm Arusha au umekurupuka tu na hoja bila utafiti? Mimi ni mwanachama tangu 1994 hawa waliokuwa madiwani ni wanachama wa 2010 kama kati yao kuna mwenye historia ya zaidi ya miaka 2 ni bahati, kwahiyo nguzo ya cdm Arusha sio wao ila ni wanamageuzi wa muda mrefu wenye msimamo na chama. Timua hii ni ishara tosha chama hakipo tayari kuyumbishwa kama mtazamo wako ulivyo, wenzetu magamba wanadai kwamba kwao kuna mafisadi lakini wanaogopa kuwatimua wanataka wajitimue wenyewe na hiyo ni reflection ya utendaji hata serikalini
 
Mbona CCM inalia na JF wakati si wapiga kura tena hawaonani na wengine wapo nje y anchi? Jiulize ujue kuwa JF ni kuna kitu cha ziada zaidi ya muono wako.

Member wa JF asiyekuwa makini ni sawa na mteja wa Tigo asiye makini aishie Dar es salaam!!! Mteja huyu ukimwambia kampuni za simu zinazoongoza kuwa na wateja wengi ni Vodacom na Zain/Airtel; hawezi kukuelewa hata kidogo nae ataendelea kuamini Tigo ndio kila kitu!
 
Back
Top Bottom