Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

mwana wa africa

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
548
128
maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza jamii. aidha uamuzi kama huu unaweza kuchukuliwa na baadhi ya watu kama mtaji wa kisiasa kuwatumia madiwani hao wakaidi katika ajenda zao za kutaka kukibomoa au kukiyumbisha chama. kutokana na hali hiyo ni vyema busara zaidi ikatumika kuwapa wananchi hasa wa arusha taarifa sahihi kwa kutumia vikao na mikutano ya hadhara katika kueleza kwa ufasaha na dhamira iliyopelekea maamuzi haya kufikiwa . zaidi sana viongozi, . aidha kwa viangozi wakuu wa cdm (mbowe na timu yake kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kutumia wakati huu kusukuma kwa nguvu zaidi jitihada za kutaka kuleta utengamano wa kisiasa katika jiji hilo ili kumaliza suala hili.
 
Tuko pamoja tunaheshimu maamuzi ya kamati kuu! Tutawaunga mkono wagombea wapya
 
sijui kwa nini watu wengine wanachukulia hatua hii ya Chadema kama failure? Mi sioni failure yeyote hata kama Chadema watashindwa kurudisha hayo hizo kata zinazoongozwa na madiwani hao, na hivyo kupoteza Halmashauri ya jiji la Arusha.
 
Nakuunga mkona!ni dhahiri wataibuka wengine wengi na kuwapaka matope cdm,thus wachukue hatua ya kuwajulisha wananchi na watu wa Arusha sababu zilizowafanya kuchukua maamuzi magumu!big up cdm!mmewaonyea njia wale vilaza wakuhesabiana siku!
 
Jamani sikuwahi kuona chama komavu kwenye maamuzi kama CHADEMA.Mwenye kusema na aseme ila Ukweli uliotukuka upo pale pale kwamba maamuzi ya cc ya CHADEMA ni ya kuheshimiwa na yanaonesha jinsi chama kilivyojipanga kupambana na wala rushwa hadi za sh.5000 ili kukaidi maelekezo ya Viongozi wao.
 
Nchi ya kusikilizia tunaendelea kusikilizia uchaguzi mdogo!
 
maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza jamii. aidha uamuzi kama huu unaweza kuchukuliwa na baadhi ya watu kama mtaji wa kisiasa kuwatumia madiwani hao wakaidi katika ajenda zao za kutaka kukibomoa au kukiyumbisha chama. kutokana na hali hiyo ni vyema busara zaidi ikatumika kuwapa wananchi hasa wa arusha taarifa sahihi kwa kutumia vikao na mikutano ya hadhara katika kueleza kwa ufasaha na dhamira iliyopelekea maamuzi haya kufikiwa . zaidi sana viongozi, . aidha kwa viangozi wakuu wa cdm (mbowe na timu yake kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kutumia wakati huu kusukuma kwa nguvu zaidi jitihada za kutaka kuleta utengamano wa kisiasa katika jiji hilo ili kumaliza suala hili.

Wahenga wanatuambia, "vita vya panzi, furaha ya kunguru!" Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.
 
Migogoro na timuatimua ni dalili tosha ya chama kinachoyumba. Hao jamaa ndiyo walikuwa nguzo ya CHADEMA Arusha na kuwafukuza ni kujichimbia kaburi. Watajipanga, watarudi kuwpa kichapo kitakatifu hadi mjutie maamuzi yenu ya kukurupuka. Kwanza mliwapa nafasi ya kujitetea? Mlisoma mazingira ya mgogoro? Mlirekebisha tofauti?
 
Ni kweli LAKINI HAYAKUHUSU
 
Umejitahidi sana kuchangia; bahati mbaya michango yako yote imeelemea kwenye kukizana na CDM. Maswali yako hapo juu yana majibu humu humu na huko nyuma, ila kwa upuuzi au ufinyu wa uelewa wako unajifanya kama chizi ili mradi uudhi na upotoshe hoja. GROW UP
 
....Ni uamuzi mgumu; lakini makini sana na wenye muelekeo wa kujenga nidhamu ya chama. Haiwezekani watu waamue kufanya watakavyo kwenye mambo nyeti na muhimu kwa maslahi ya chama ilhali chama kikae kimya bila kuwachukulia hatua za kisheria kwa mujibu wa taratibu na au kanuni zinazoendesha chama. Wanachama waliyovuliwa uanachama watambue kwamba walichofanya ni utovu wa nidhamu na hujuma kwa chama. Kwa jinsi hii, wananchama wengine wa CHADEMA Arusha na kwingineko Tanzania na nje yake watambue kwamba chama ni taasisi na si mtu na au watu wachache wenye malengo ya kibinafsi. Kwa pamoja tukubali maamuzi ya Kamati Kuu kwa mujibu wa Katiba ya Chama.
 
haya ndiyo yanaitwa maamuzi magumu ambayo ccm haiwezi kudhubutu kuyafanya.bado shibuda tumalize kesi

Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.

Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,

Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.
 
Naamini CCM wangekuwa wanachukua maamuzi magumu kama haya TUNSINGEKUWA TUNATESEKA HIVI. hata siku moja mtoto hawezi kuwa juu ya wazazi wake,walitumwa wakagombee Udiwani na CDM na sio familia zao kama wamekiuka sheria za chama ulitaka wawe rewarded kama akina JAIRO; Lowasa,Chenge na wengineo?
Kama unasubiria chama kife kwa maamuzi sahihi pole saana
 
Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt; ww ongelea migamba yenu achana na Cdm. Halafu ww m.¤*a@Nge umerith mikoba ya Yahaya Husein yule aliyekuwa mlinzi wa MKUU wenu?
 
Wahenga wanatuambia, “vita vya panzi, furaha ya kunguru!” Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.

Mkuu kumbuka uongozi wa chama haukukurupuka bali walituma timu iliyokuja kukaa nao na waliona kilichopo jikoni. Kama ilifikia hatua ya kuwatimua basi tujue palikuwa na mazingira ambayo jibu lake ndio hilo cc ya chadema imechukua. Tunajua mtasema vingi sana kuhusu kukosoa chama lakini hakita yumba, vijana wanataabika mitaani wamevumilia vya kutosha. Hapa ndio tutajua wanaotaka madaraka ya kuwababaisha wananchi, na wasipoangalia vizuri ile kesi itawajeukia kwa kuwarubuni wananchi ili kupata madaraka. Tunakiu ya kuongozwa kisheria tumechoshwa na ubabaishaji usiokuwa na msingi.
 
Wahenga wanatuambia, "vita vya panzi, furaha ya kunguru!" Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.

Kama hatua iliyochukuliwa na CC ya CDM itaiponza basi na iwe hivyo,kuna tofauti kbwa sana kati ya NCCR na CHADEMA,subiri uone
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom