VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ni wanaohusika na Stendi ya Mabasi ya Abiria pale Mailimoja. Kila basi linaloingia pale hutozwa 1000-kubwa na 500-dogo. Hata likiingia mara kumi kwa siku,hulipa mara zote hizo. Halafu,tiketi huchanwa getini na wakusanya pesa. Huu ni wizi wa wazi. Mbona Ubungo na Mwenge malipo ni mara moja tu? Wahusika mmeboresha huduma gani pale Kibaha hadi muendeleze wizi huu? Kimsingi,wahusika wa stendi ya Kibaha ni wezi...