Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Huyu Mzee ndio maana Mkapa alitaka amrudishe kwao Burundi :shut-mouth:
Teh Teh Teh
Teh Teh Teh
Aisee acha kusema ukweli usio na ukweli yaani yule dr wa chemicali kazi yake kufungua majengo?Tanzania ni nchi ya kusikitikia sana. Ni nchi yenye,
- Rais asiye Rais. Hajui yanayotendeka nchini mwake.
- Waziri mkuu asiye waziri mkuu. Hana mamlaka ya kuwasimamia mawaziri,
- CAG asiye CAG. Taarifa zake hazina maana kwa Kikwete,
- Pia tuna MAKAMU WA RAIS asiye MAKAMU WA RAIS. Kazi yake ni kukata utepe wa majengo na kufungua makongamano.
- Kamati za Bunge zisizo kamati za Bunge. Mawaziri wa JK wanazipuuza.
Kumbe ukisikia serikali kivuli ndiyo hii hasa, ya JK.