Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
mhariri wa TZ daima na balile wote ni makanjanja tu!Balile anawatumikia kina RA na kikosi chake na wa TZ daima anawatumikia kina Mbowe na kikosi chake!1+1=1
Wote wale wale!
Tuthibitishie, Tanzania Daima wamekanusha hilo dai!, Kibaya zaidi ni kuwa aliyesaidia kulisajili Tanzania Daima alikuwa BALILE! Sasa nachanganyikiwa.
Inawezekana kweli hata kama unamtumikia Bwana inabidi ujue, Bwana gani , let say Mungu na Shetani? Ukimtumikia shetani hata watoto wadogo wanamwogopa! offcoursetunasema shetani huyoo, wanalala kwa hofu!
Waberoya