"Raha" ya Ubachela

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,193
3,011
IMG20121003_002.jpg
Hiyo ndio typical dina ya nanihii..
Cku akiamua kupika huwaga ni chapati 2 za Azam + supu ya lamb chop & mchanganyiko wa chinese cabbage, nyanya, pilipili hoho, pilipili kali, kitunguu, spices, chumvi + maziwa kidogo.
Halafu unamaliza Windhoek 2 baridi sana..
Life can't be better..
 
ndo maaana vijana wa ck hizi kazi hamuwezi!!:A S embarassed:
sio kila mtu ni muabudu ngono(binafsi napenda companionship & quality sex sio quantity)..vilevile sie wengine tuna hobi zetu na tunamentein figa vilevile na wala sio watu wa bara wa kufakamia ugali usubuhi..ushanpata eenh??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom