Raha ya "tunda" ulile na furaha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,990
Jamani tunda nitalipataje tunda.tunda nalipenda nitalipataje tunda...tunda kavu kavu ntalipataje tunda....ndugu zanguni wapo wengi wanashindwa kuelewa niini maana ya tunda...wapo wanaokula tunda wakati wa huzuni lakini leo hii niwajulishe raha ya tunda ulile ukiwa na amani..tunda tamu pale kila mtut anapotoa sauti ya bashasha toka moyoni.....wapo wanaokimbilia tunda gafla wakiariu wakijua hii ndi sln ya kumtuliza mwenzio la hasha tunda ulile likiwa na raha ndani yake..tuache kulitumia tunda vibaya....

jamani tunda ntalipataje tunda nalipenda ntalipataje tunda
 
Kwani wewe unalitumia tunda vibaya?
 
Tunda la wizi (yaani kama ni men nyumba ndogo) ndio tamu

hili utalimega kwa uwoga utolila kwa amani....ama vya fasta kwako furaha??haya haraka mbeeeeele tembeeeea kwa mwendooooowa harakaaaa inaaaaamaaaaa mmwendo wa polepole safari ianze...mmmmhhhh mashallah
 
Mama Mia ..! Unanipa mashaka sana mpendwa wangu !! Tunda gani wangángánia liliwe mtu akiwa ketulia ?

mkuu kuna wengine wanalitumia vibaya....wewe unamwinamisha mwenzio barazani kisa fasta fasta jamani uoni kuna umuhimu wa kulithamini tunda jamani.......,Mkuu TL lile lile tunda la uzima
 
na usali kabla ya kulimega tunda... Hehehee

tena sio kusali tu peke yake unakemea na maafa kabisa na laana zozote kama limemegwa kabla yako laana zao zisikufwate...unamalizia na amina....na kila roho inayokufanya usilipende ife ama iondoke kabisa ...kuna wengi wanafaragha awapendi ma"tunda" yao ..hiyo ni spirit inaitaji kukataliwa imeshindwa kabisa....tunda lako sharti ulifurahie...
 
Sasa hilo tunda ni la sehemu gani ya mwili maana siku hizi kunasehemu kibao za kula hayo matunda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom