Raha ya rusha roho

Hii ndio Tanzania zaidi uijuavyo, hapo kama kuna mtu ana TB au Meningitis au hata Flu atasambazaje huo ugonjwa? Starehe tunapenda sana wabongo ila afya zetu kwa ujumla hatuzidhamini kabisa, hapa ni full kujazana sio poa kiafya hata kidogo.

Kupata magonjwa hayo inategemea na immunity ya mtu.
 
hicho kidem chenye nyeusi nakijua,watu wameanza kuchimba asali siku nyingi kweli hapo,loh siamini km sasa ndio kimejiishia namna hii.
 
DSC_1193.JPG

Hapo pembeni mwa kichupi chake mbona shavu moja linataka kupenyeza?:rolleyez:
 
watu wako kwenye starehe nini cha ajabu hapo??kila mtu na starehe kulingana na urefu wa mfuko wake
vivazi vya ajabu?!wako disco au kanisani?
rusheni roho akina dada maisha yenyewe mafupi.
 
Duniani kuna mambo hii ilikuwa wapi Mfunyukuzi maana mpaka daaaaaaaa.
...Mh! Hii lazima itakuwa uwanja wa fisi sioni tofauti ya mwanaume wala mwanamke hapo wote hali moja mikorogo na uchafu mtupu! Lazima kutakuwa na mibwabwa ya kumwaga tu hapo!!!!
 
Mapaja meusiii, miguuu madoa kibao!! na hao marafiki zao hata kuwashauri..........Kichefuchefu kwa kweli.. Wenzenu wanaangalia kwanza nature ya ngozi zao si kuvaa tu... ovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
siamini kama hali imekuwa mbaya kiasi hiki kwa hawa wa dada wa ki tz

mie picha zote naona watu wanacheza tu kwa raha zao, kwani kuna tatizo mtu kuipa nafsi yake ile kitu inapenda? hata kama wanacheza uchi mbona wamakonde wahaya na wengineo kiasili kabisa wanacheza wakiwa wamevaa vimajani kiunoni wanapocheza ngoma? hali si mbaya ni raha tu zimewazidi
 
Rusha roho kwa raha zako
 
...Mh! Hii lazima itakuwa uwanja wa fisi sioni tofauti ya mwanaume wala mwanamke hapo wote hali moja mikorogo na uchafu mtupu! Lazima kutakuwa na mibwabwa ya kumwaga tu hapo!!!!

ukionqa magoti meusi huyo si mwanamke,piga ua ni bwabwa
 
mie picha zote naona watu wanacheza tu kwa raha zao, kwani kuna tatizo mtu kuipa nafsi yake ile kitu inapenda? hata kama wanacheza uchi mbona wamakonde wahaya na wengineo kiasili kabisa wanacheza wakiwa wamevaa vimajani kiunoni wanapocheza ngoma? hali si mbaya ni raha tu zimewazidi

nashangaa,,
watu wana yao moyoni na yawashuke shuuu!!

kwa raha zao na muziki wanaoupenda,kwani miziki ya kimagharibi ndo wanavaa baibui?mibwabwa ndo inayoitwa "Sir".wabongo wakijirusha oooh kimeenda kimerudi
ngoma zetu za asili twacheza matiti nje vifua wazi mauno ndo usiseme

seksi muhanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom