Raha ya nyumba ndogo

Hahaha! Mamushka unanizeesha nikiwa kwa stomach!

NALIONAGA TAMBARA lake la tangazo pale salenda yaaaaaaaaaaak natamani ningekuwa manispaa ya ilala, afu na pale kwa manyanya...

Teh teh teh! Hujasikia Dr Ndodi anasema ukizilazimisha kuwa bigger damu haifiki huko? Allocation yake ni lita 3 za damu tu, sasa hiyo damu ya ziada itatoka wapi? Side effect asije kulia mtu hapa, mimi simo!

huyo naye ndo wale wale tu kwanza nani alimtunuku u-DR?? STAR TV AU??
 
nilikutega niuone hw true you were!!!!

nimejirithisha mwenyewe thou not beyond reasonable doubt thou!!!

kingine acha kwenda kujikumbushie na yule X. CHENI MGUUNI NI UREMBO TU WASIKUZINGUE AKINA FIDEL

The relationship was hell, kwa hiyo kukumbushia kunaweza kumfanya akadhani tumerudiana! Nani anataka ma-stress? Wapo wanaofaa kukumbushia lakini siyo yule pasua kichwa khaa!! :)
 
hahaaaa alikuwa mrembo sana basi ndo maana. Pole mwaya wacha tujiinjot na hii likizo bila stress
 
Nyumba ndogo ni chanzo cha kusambaratika kwa familia nyingi. Wengi wamepata ukimwi na kupoteza maisha kupitia nyumba ndogo. Matokeo yake ni Yatima wengi na umasikini.
 
hahaaaa alikuwa mrembo sana basi ndo maana. Pole mwaya wacha tujiinjot na hii likizo bila stress

Of course yes she was beutiful, give credit where it is due! Halafu likizo ya ma-stress ni tamu sana aisee, nilikuwa sijaishtukia! :) Hakuna cha text msg za uko wapi wala nini! :) Na shopping pia hakuna (hapo nimenong'ona)
 
HAHA HAAAAAAAAAAAAAAA !!! leo umeamua kubwaga moyo!!!!

ni raha kweli mie mwenzio nilifikia point nikahisi mi na mwenzangu tunaonea lugha tofauti maana maelewano nehiiiiiiiiii. niliishia kupata kizungunzungu tu!!! akisema hivi mi natwist inakuwa vile likewise mimi nikisema!!!

yaani kama Iribini avyobadilishaga post za watu LOL!!!
 
Vipi lakini likizo ya ma-stress unaweza kuelezea utamu wake? :)
 
stress-free leave as opposed to paid leave hahaaaa jamani raha!!! moyo kama vile umeongezewa space ya kujinafasi vile!!!!!!!!!!!!!
 
Msidanganyike waungwana kuwa na nyumba ndogo ni upuuzi na mzigo tu, katika ulimwengu wa sasa sidhani kama kuwa na multiple relationships ni deal, sana sana unaandaa mazingira ya kuja kuitesa familia yako tu baadae, kwanini uwe na nyumba ndogo wakati ulishakula kiapo cha uaminifu kwa mkeo, kama ni hizo stress kwani hakuna njia nyingine ya kuzishusha zaidi ya kwenda kenye nyumba ndogo?..Nionavyo mimi kuwa na nyumba ndogo ndiyo kuzidi kujikaribishia maradhi zaidi kwani most of the time utakuwa kwa mkeo sasa huu muda ambao hauko na nyumba ndogo yako unajua yeye anafanya nini huko pembeni?..hili ni dogo, kubwa zaidi ni kuwa utakapokuwa ma watoto wa nje huoni kama utawatesa hawa watoto bure, mimi huwa naamini kuwa mapenzi kati ya watoto huwa ni makubwa zaidi kama watoto ni wa tumbo moja kuliko kuwa wa mama tofauti, sasa huoni kama utawapa shida tu watoto wako...
Mtu asiseme kuwa eti ooh kwani ni lazima nizae na huto nyumba ndogo, asikudanganye mtu ndugu yangu utategeshewa wewe utagonga, mimba itatunga na mtoto utamlea bila kupenda..,kuna wanawake wapo kiuchumi zaidi wewe asikwambie mtu.
 
HAHA HAAAAAAAAAAAAAAA !!! leo umeamua kubwaga moyo!!!!

ni raha kweli mie mwenzio nilifikia point nikahisi mi na mwenzangu tunaonea lugha tofauti maana maelewano nehiiiiiiiiii. niliishia kupata kizungunzungu tu!!! akisema hivi mi natwist inakuwa vile likewise mimi nikisema!!!

yaani kama Iribini avyobadilishaga post za watu LOL!!!

Eheeeeeeh.....!

Of course yes she was beutiful, give credit where it is due! Halafu likizo ya ma-stress ni tamu sana aisee, nilikuwa sijaishtukia! :) Hakuna cha text msg za uko wapi wala nini! :) Na shopping pia hakuna (hapo nimenong'ona)
Na huyu tena.......!

Vipi lakini likizo ya ma-stress unaweza kuelezea utamu wake? :)

Tena.......!
stress-free leave as opposed to paid leave hahaaaa jamani raha!!! moyo kama vile umeongezewa space ya kujinafasi vile!!!!!!!!!!!!!

Eeeeeh tena........!

Ba ndugu...watch out isije kawa BHT= Masaki's X-Gfriend!

Sababu:

BHT: .....sometimes huvaa shanga mguuni

Masaki' X-Gfriend: Anavaa shangaa mguuni as well

BHT: Yupo vacation......stress free leave

Masaki: Now yupo Stress free leave....!

Masaki's X-Gfriend .....alikuwa pasua kichwa....lugha gongana sana,

BHT: Anasema, relation yao ilikuwa hell fulani, lugha gongana kwa kwenda mbele.........!

......just kulwasi mazee msinirushie mwiko wa ugali...........!
 
ila twende mbele na kurudi nyuma kama mambo yako safi ukatafuta nyumba ndogo akiyanani umekwisha utasahau familia kabisa nilishuhudia jirani yetu yani watoto ndowalokwenda kumchukua kinguvu babayao kwa small house mzee alishazidiwa kabisa yani
 
nyumba ndogo si nzuri ila ukizidiwa tafuta lakini asiwe wa class moja na mkeo awe chini kidogo.pia hakikisha kwamba unaicontroo otherwise atataka kuwa kama mkeo na hapo ndio stress inapo double
 
Eheeeeeeh.....!

Na huyu tena.......!

Tena.......!

Eeeeeh tena........!

Ba ndugu...watch out isije kawa BHT= Masaki's X-Gfriend!

Sababu:

BHT: .....sometimes huvaa shanga mguuni

Masaki' X-Gfriend: Anavaa shangaa mguuni as well

BHT: Yupo vacation......stress free leave

Masaki: Now yupo Stress free leave....!

Masaki's X-Gfriend .....alikuwa pasua kichwa....lugha gongana sana,

BHT: Anasema, relation yao ilikuwa hell fulani, lugha gongana kwa kwenda mbele.........!

......just kulwasi mazee msinirushie mwiko wa ugali...........!
Next Level; u bright ma day
nimecheka nimefurahi karibu B/Fast kwa mawazo yako saaaaaaaaaafi
 
Eheeeeeeh.....!

Na huyu tena.......!

Tena.......!

Eeeeeh tena........!

Ba ndugu...watch out isije kawa BHT= Masaki's X-Gfriend!

Sababu:

BHT: .....sometimes huvaa shanga mguuni

Masaki' X-Gfriend: Anavaa shangaa mguuni as well

BHT: Yupo vacation......stress free leave

Masaki: Now yupo Stress free leave....!

Masaki's X-Gfriend .....alikuwa pasua kichwa....lugha gongana sana,

BHT: Anasema, relation yao ilikuwa hell fulani, lugha gongana kwa kwenda mbele.........!

......just kulwasi mazee msinirushie mwiko wa ugali...........!

Yeah! Good observation, bht hebu tutete kidogo kwenye PM, isije kuwa Next Level yuko sahihi! :)
 
Back
Top Bottom