Raha ya ndoa tln

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
@#$^&^&))_)__))_)_)__))_____________________________347895896906590650-3423234
 
Asikwambie mtu jamani
nimetoka kwa wenzetu wakina tata duh yaani hili kwao si la maana
kwetyu dar raha ya ndoa ule tunda la ndoa usikie raha yake kule jamani
mwanamke asipopigwa ndoa aijaka sawa..hamad nikiwa jiran usiku nikasikia
mtu analia mara mwenyeji akasema huo ni mpasho kluelekea tendo la ndoa
usiogope duh nkasema jaman wenzetu wakina tatata embu tupunguze hizi gym jamani

raha ya ndoa tendo la ndoa bana sio gym...marufuku nasema wewe unaempiga mkeo mafuruku tena ukome


ndio unasemaje sasa? mana hueleweki.
 
Pdidy anapenda kutoa mada nyingi lakini hata mie huwa sizielewi kwakweli na inakuwa vigumu kuchangia.
 
Naambiwa wakina tata wamebarikiwa kunako equipment ndo maana hao wanawake hata wabondwe vipi hawakubali kuachia ngazi wakiogopa kumisi shughuli
 
Just another bunch of prejudice!!
KUPIGA-KILA MTU ANAPIGA NA SASA KUNA TREND YA KUTOPIGA MIONGONI MWA BINADAMU
MITULINGA WHATEVER YOU SAIDI- HIYO NI PERSONAL ENDOWMENT YA MTU HUSIKA HATA WATU WA KABILA NA MATAIFA MENGINE WAKO OK ETC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom