Raha ya mapenzi ni wakati gani?

Habari zenu wana jamii,
Jaman naomba kuuliza eti raha ya mapenzi unaisikia wakati gani,ni wakati mnakiss na taching au wakati wa tendo lenyewe?

...kila wakati na kila kitu wafanyacho wapendanao i.e kula, kunywa, kulala, matembezi, maongezi, ---'raha' ya tendo la ndoa kwa mtu usiyempenda pia inawezekana.
 
Raha ya mapenzi ni wakati nyinyi wapenzi mnapendana na mko kwenye mapenzi mazito sana mnaelewana na kusikilizana, kuaminiana, nakuheshimiana bila kusikiliza la mtu na vitu hivi ndo vinaumba neno hilo raha ya mapenzi, mengineyo yote yamo ndani ya hayo mapenzi, wakati huo ndo raha ya mapenzi inakua inatumika na kushika nafasi yake kikamilifu. SUPU HUNYWEWA IKIWA YA MOTO.
 
raha ya mapenzi ni kuwa na unayempenda na hapo moyo huwa burudani na si lazima kuchakachuana ndio tupendane la hasha
 
Raha ya mapenzi unaickia iwapo wote mpo tayari kiakili na kimwili kufanya kitendo hcho.
Kama we ndume utakurupuka wakati njike haipo tayari hakutakuwa na raha hapo.
 
hapa wanaume wote watasema wakati ana enjaculate ndio raha this is true, ila wanawake as usual wako shy sana watakwambia eti wakati wa kutach tach, kiss, kunyonya, of which wanaficha, wakifika kilele ndio raha kuu, ladies be open hata hapa why shy, feel free, sema ukifika orgasm ndio raha, period
 
Raha ya mapenzi ni wakati nyinyi wapenzi mnapendana na mko kwenye mapenzi mazito sana mnaelewana na kusikilizana, kuaminiana, nakuheshimiana bila kusikiliza la mtu na vitu hivi ndo vinaumba neno hilo raha ya mapenzi, mengineyo yote yamo ndani ya hayo mapenzi, wakati huo ndo raha ya mapenzi inakua inatumika na kushika nafasi yake kikamilifu. SUPU HUNYWEWA IKIWA YA MOTO.

okay asante Mamushka!
 
Habari zenu wana jamii,
Jaman naomba kuuliza eti raha ya mapenzi unaisikia wakati gani,ni wakati mnakiss na taching au wakati wa tendo lenyewe?
Raha na utamu wa mapenzi ni wakati;

  1. Kila mmoja yuko tayari kufanya mapenzi....
  2. Mwenzio anakupa penzi lake kwa ridhaa yake toka moyoni...
  3. Miili yenu inaendana; yaani kama ni maumbile ya tembo, basi yote ni ya tembo....
  4. Iwapo mapenzi yenu hayamkwazi wala kumuumiza, kumdhalilisha, hayaharibu maadili.... kwa yeyote mwingine... ie. no kind of cheating or law breach....
  5. Kuna muda wa kutosha kufanya mapenzi; sio unafanya asubuhi huku umeshachelewa ofisini....
  6. Hakuna kinyongo kilichotokana na historia baina yenu; hakuna aliyewahi kumcheat mwenzake.... so no any frustration against each other....
  7. Every one is open to each other; kama bado sema bado, kama tayari sema tayari.... kama ungependa mkao fulani, sema wazi...
 
Habari zenu wana jamii,
Jaman naomba kuuliza eti raha ya mapenzi unaisikia wakati gani,ni wakati mnakiss na taching au wakati wa tendo lenyewe?

Kila stage ina raha yake hasa kama ni mpenzi wako wa ukweli,romance dahh hapo mwnangu ndo usiseme,touching nayo tamu,tendo lenyewe unamalizia tu..pia raha kwenye tendo ni pale mnapokojozana..
Kwa sisi wanaume,sijui wenzangu wana maoni gani ila raha inakuwa zaidi pale unapoona mpenzi wako anafurahia hizo stage zote..
 
Rahaa ya mapenzi ni pale kitendo cha mkojoa na mkojolewa kinapotokea,ghafla tu mtu unatamka maneno ya ajabu,maa:embarrassed:ana inakuwa ni balaaa tu:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Asanteni jaman kwa hoja zeni,ila nimegundua kitu swali halikuwa vzr sana,ila all in all nimeelewa.
Kuna tofauti ya raha ya mapenzi na tendo la ndoa,japokuwa tendo la ndoa liko ndani ya mapenzi,So nimewapata.
 
Mbona mnachanganya mambo ni NGONO au MAPENZI? kuna tofauti kubwa kati ya hayo mawili....mtoa hoja kaulizia MAPENZI wachangiaje na yeye mwenyewe mnaongelea NGONO

Thanx mkubwa. Wabongo hua hatuko "ROMANTIC" na mara nyingi tunachanganya MAPENZI na NGONO. Kama ni ngono raha ufikia kilele pale washiriki wa tendo hilo wanapofikia mwisho wa tendo. Raha ya mapenzi huwa wakati wote mtu awapo na mpenziwe na karaha ya mapenzi huwa pale mtu anapokua mbali na mpenziwe au kukorofishana na mpenziwe.
 
pale pa makiss..matach tach..manyonya....maramb aramba....mengneyo ahhhh yanachosha babu!!!1
ehh kengele imelia ebu niende zangu chach mie...........!!!!

hapo mi nakubaliana na wewe 11% naunga mkono hoja
 
mmesema sana nayote nimesikia kumbe hakuna jibu moja, raha za mapenzi nyakati zinatofaitiana, nimekonkurude maoni yenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom