Raha ya mahaga/mahips katika mapenzi Kichina na original

Sasa huyu unapanda nae kwenye daladala za Mbezi/Posta/K.Koo au G.Mboto/Mwenge/Posta/Ubungo au Mbagala/K.Koo/Posta/Mwenge/ubungo alafu amesimama amekosa kitu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari utaona wanaume watakavyo anza kusukumana wasimame nyuma yake teh teh teh mambo ya mfadhaiko.

kazi mnayo, jamani hapana, hiyo shape sio wala nini! waweke na za kujirudisha shape yako ya awali kama ikitokea mkongoroko kama huo, watu wanangilia mpaka kazi za muumba....huyu lazima anajutia sema tu ndio hivyo tena...
 
Utafikiri katuni vile, lohhhh!!! Mwanamke kuwa na hips kama hizo mie naona karaha tena.
Hiyo top yake ilivyoandikwa, anapenda dickies.

huyu kajaa ovyo bwana, huoni hipsi hapo wala nn! hipsi mpaka mapajani?....nitabakiwa na hizi hizi zangu za kushikia jeans.....
 
ha ha ha ha ha! I cant believe my nose......Kweli huyu mtu yupo Tz....Leo nimekutana na mmoja hapa A-town,nikasimama kwanza nisijegongwa na gari.nikafikiri ni kitu ya mchina,ila sasa kumbe ile yaweza ilikuwa original.Ila hii niliyokutaka nayo yawezekana ni kitu ya kas maana ilivaa sketi,miguu ikawa km imechomekwa.
Kwani wachina hawana ya kuongeza na miguu,ili dada zetu wa kask. wafaidike pia?

heee imebidi nicheke, mana hata huyu akivaa kimini lazima tutamkimbia tu...miguu haiwezi endana na huo mwili hata sumni......
 
makubwa mno!
mi nitaendelea kukomaa na ''vimodo''
adventages of ''vimodo''
-easier to carry
-easier to handle
-they can be folded and unfolded ''in any style you like''
-
-
-
-
i hope ''home-boy'' mtoa mada atanisaidia kuongeza faida za ''vimodo''
 
heee imebidi nicheke, mana hata huyu akivaa kimini lazima tutamkimbia tu...miguu haiwezi endana na huo mwili hata sumni......

WoW Mrs Mambo? Nimekumiss kweli hili kongamano hata sijui kwa nini halimaliziki mapema!
Naona yamekuwa ya mahaga tena hapa!
 
raha ya hips bana ziwe kubwa, wowowo kubwa na paja kubwa, mwana unahangaika nalo hadi basi!
 
Hehehehe komredi kumbe upo!!
Hii kitu ikipita K/Koo haimalizi mtaa chingas walivyo na ukame dah
Wacha kusifia kikatuni mzee Fidel, mtu hai hawezi kuwa hivi. kama kweli yupo mtu kama huyu, basi kwangu mimi ni mlemavu wa viungo
 
huyu kajaa ovyo bwana, huoni hipsi hapo wala nn! hipsi mpaka mapajani?....nitabakiwa na hizi hizi zangu za kushikia jeans.....

Hahahaha najua nyie msio nazo lazima mponde ndo kawaida yenu wazawa.
 
Sijafurahishwa na kitabia chako hata kidogo kijana,
Kwanza kumbuka wengine tuko ofisi na kwa picha kama hizo unatusababishia matatizo "kimaumbile"
Kumbuka tupo na Mabinti kibao ofisini, tena huku twapiga "software pamba" yaani suruali za vitambaa laini ,,,,,,,,,,,,,, nadhani wajua aibu iliyonikuta leo..........?
Hata hivyo inzi kufia kwenye kidonda sio issue, issue ni kwamba HUJATUONYESHA HIYO PICHA KWA NYUMA, TUONE MGONGO.
 
hahahahaha yale yale MFADHAIKO kwi kwi kwi si uchomoa shirt hilo mkuu weka mikono mfukoni au wahi ******.
 
ATT00109.jpg

Mrembo huyo dah wachina wametuletea hii dawa sasa wengine ndo inakuwa too much wengine inawapenda na kuwavutia wengine ndo hivyo anajaa kalio moja na jingine linakuwa la kawaida.

Yote hii wanawake wanafanya ili kumpa raha mwanaume.

Hapa hata kama unapenda vimobitel lazima ugeuke mpwa Yo Yo lazima utibue swaumu ukikiona kifaa hiki comredi Nyani Ngabu sijui kama unapenda mambo haya lakini najua wewe hupendi maswala ya kujiexpress hapa mpwa Masanilo najua nitakuwa nimegonga Ikulu kabisa lakini bado sijajua mahaga iwa unapenda au lah? Mzee George_Porjie naona ndo fani zako hizi lazima usalute na mate ya kutoke p'se niPM nitakupa contact zake na mkuu Sipo najua fika hapa mate yatakutoka.

Vitu kama hivi hata wanawake nao iwa wanaoneana wivu kwa nini shosti kafungasha aka mfadhaiko lakini ndo hivyo tena wengine ni original wengine ni man made.

Enjoy it.

hehehehehehe kituko khaaaaaaaaa
 
WoW Mrs Mambo? Nimekumiss kweli hili kongamano hata sijui kwa nini halimaliziki mapema!
Naona yamekuwa ya mahaga tena hapa!

mr wangu jamani, karibu tena humu, umeona mahaga yenyewe yalivyo shoti shoti, ucjeniambia umeyapenda......
 
Hahahaha najua nyie msio nazo lazima mponde ndo kawaida yenu wazawa.

haa cnaga kawaida ya kuponda lakini kama kitu hakijanivutia cwez kukicfu, hizo hapo mtu unapondea nini sasa? mbona za ovyo tu.
 
hahahahaha yale yale MFADHAIKO kwi kwi kwi si uchomoa shirt hilo mkuu weka mikono mfukoni au wahi ******.

Huo mlupo ulkipanda kwenye daladala, habari za mifadhaiko itakuwa front page kwenye magazeti ya udaku!
 
Mkuu Fidel80 hapo kwa one for the road siyo mbaya!!! Actually its by chance and not by choice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom