Raha ya mahaga/mahips katika mapenzi Kichina na original

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
ATT00109.jpg

Mrembo huyo dah wachina wametuletea hii dawa sasa wengine ndo inakuwa too much wengine inawapenda na kuwavutia wengine ndo hivyo anajaa kalio moja na jingine linakuwa la kawaida.

Yote hii wanawake wanafanya ili kumpa raha mwanaume.

Hapa hata kama unapenda vimobitel lazima ugeuke mpwa Yo Yo lazima utibue swaumu ukikiona kifaa hiki comredi Nyani Ngabu sijui kama unapenda mambo haya lakini najua wewe hupendi maswala ya kujiexpress hapa mpwa Masanilo najua nitakuwa nimegonga Ikulu kabisa lakini bado sijajua mahaga iwa unapenda au lah? Mzee George_Porjie naona ndo fani zako hizi lazima usalute na mate ya kutoke p'se niPM nitakupa contact zake na mkuu Sipo najua fika hapa mate yatakutoka.

Vitu kama hivi hata wanawake nao iwa wanaoneana wivu kwa nini shosti kafungasha aka mfadhaiko lakini ndo hivyo tena wengine ni original wengine ni man made.

Enjoy it.
 
Yeah Kiswahili cha Manzese hicho sio cha Tandika.
Vp huyo mrembo MJ1 amependeza? Huyu akipita k/koo hiyo suruali wanaivua wahuni.

Aisee mbona mimi siioni hiyo picha? nina ham ya kuosha macho bana!
 
mamamamamamaaaaaaaamamaaaaaaaaaaaaaaaa,
mkuu Fidel huyu anapatikana wapi?????,l Mungu wangu hebu nipe contacts zake fasta kabla Masanilo hajatokea, fasta asee!!.
duh ebwanaaaeeeee khaa, wachina nyie ni noma!.
asee ni-PM mara moja.
 
Hahahahaha mzee naona mzuka mwingi au sio teh teh teh kitu lainiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Yeah Kiswahili cha Manzese hicho sio cha Tandika.
Vp huyo mrembo MJ1 amependeza? Huyu akipita k/koo hiyo suruali wanaivua wahuni.

Ni kweli amependeza kwa style yake ila kusema kweli hayo madude yawage ya wastani yakizidi sana hata haipendezi.
 
mamamamamamaaaaaaaamamaaaaaaaaaaaaaaaa,
mkuu Fidel huyu anapatikana wapi?????,l Mungu wangu hebu nipe contacts zake fasta kabla Masanilo hajatokea, fasta asee!!.
duh ebwanaaaeeeee khaa, wachina nyie ni noma!.
asee ni-PM mara moja.
Kaka umetokwa na mate ya uchu hadi umelowesha screen yangu! kisa? mahaga lol mbona siku hizi yako mengi sana? nakushauri tu usiendeshe gari ukienda mjini utagonga lol (joke)
 
Kaka umetokwa na mate ya uchu hadi umelowesha screen yangu! kisa? mahaga lol mbona siku hizi yako mengi sana? nakushauri tu usiendeshe gari ukienda mjini utagonga lol (joke)

yani nimeshikwa na MFADHAIKO wa ghafla.
 
yani nimeshikwa na MFADHAIKO wa ghafla.

Sasa huyu unapanda nae kwenye daladala za Mbezi/Posta/K.Koo au G.Mboto/Mwenge/Posta/Ubungo au Mbagala/K.Koo/Posta/Mwenge/ubungo alafu amesimama amekosa kitu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari utaona wanaume watakavyo anza kusukumana wasimame nyuma yake teh teh teh mambo ya mfadhaiko.
 
mkuu unaweza kumwaga radhi kwenye basi!!, fikiria kavaa zile nguo laini zinazovutika ebwanaeeeeeee!!.
 
ha ha ha ha ha! I cant believe my nose......Kweli huyu mtu yupo Tz....Leo nimekutana na mmoja hapa A-town,nikasimama kwanza nisijegongwa na gari.nikafikiri ni kitu ya mchina,ila sasa kumbe ile yaweza ilikuwa original.Ila hii niliyokutaka nayo yawezekana ni kitu ya kas maana ilivaa sketi,miguu ikawa km imechomekwa.
Kwani wachina hawana ya kuongeza na miguu,ili dada zetu wa kask. wafaidike pia?
 
Hivi mbona wao wachina hawana makalio?
Ukiangalia kama wamepigwa pasi vile.
 
Sasa huyu unapanda nae kwenye daladala za Mbezi/Posta/K.Koo au G.Mboto/Mwenge/Posta/Ubungo au Mbagala/K.Koo/Posta/Mwenge/ubungo alafu amesimama amekosa kitu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari utaona wanaume watakavyo anza kusukumana wasimame nyuma yake teh teh teh mambo ya mfadhaiko.

hapo ukimwaga radhi hakuana kesi,maana mkienda mahakani,hata km hakimu ni mwanamke...ataduwaa tuuuu na kesi itaisha.
 
Utafikiri katuni vile, lohhhh!!! Mwanamke kuwa na hips kama hizo mie naona karaha tena.
Hiyo top yake ilivyoandikwa, anapenda dickies.
 
kwanza havutii kimahaba huyu, kwanza mgonjwa,halafu anaonekana mzito akiwa shughulini!, tatu ufupi umemuharibu sana.
sijaona radha yake huyu nakushangaa g.polje,unalowanisha screen kwa nini!!
 
att00109.jpg

mrembo huyo dah wachina wametuletea hii dawa sasa wengine ndo inakuwa too much wengine inawapenda na kuwavutia wengine ndo hivyo anajaa kalio moja na jingine linakuwa la kawaida.

Yote hii wanawake wanafanya ili kumpa raha mwanaume.

Hapa hata kama unapenda vimobitel lazima ugeuke mpwa yo yo lazima utibue swaumu ukikiona kifaa hiki comredi nyani ngabu sijui kama unapenda mambo haya lakini najua wewe hupendi maswala ya kujiexpress hapa mpwa masanilo najua nitakuwa nimegonga ikulu kabisa lakini bado sijajua mahaga iwa unapenda au lah? Mzee george_porjie naona ndo fani zako hizi lazima usalute na mate ya kutoke p'se nipm nitakupa contact zake na mkuu sipo najua fika hapa mate yatakutoka.

Vitu kama hivi hata wanawake nao iwa wanaoneana wivu kwa nini shosti kafungasha aka mfadhaiko lakini ndo hivyo tena wengine ni original wengine ni man made.

Enjoy it.

photoshop!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom