Raha sana

Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..

Hongera zako kwa kukubali kukosolewa. Kila la heri katika mapenzi yenu.

Last edited by a moderator:
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..

Hongera sana mkuu ila ukumbuke kwenye mapenzi kuna milima na mabonde si kila siku ni rahaeeeeeee...ila ukiweza kusena Nakupenda/samahani/pole hivi siku zote vikiwa kinywani mwako mapenzi utayaona ni raha sana...pia ujifunze kuvumilia mambo mengine...umeshakubali kuingia utayaona mengi...

Take note siku ukikwazika ukumbuke haya maneno uliyotuandikia hapa...i love my beibe!!..
kila la heri mkuu....just enjoy your new love....
 
One in a million chance.

Dont leave her and wed her fast. Dont start to pester her or otherwise you will loose her.

GOOD LUCK CHUMMY !!!!!!!!!!!!!
 
Sina hata cha kuchangia coz hapa nilipo nipo kama mgonjwa kwa ajili ya kuzinguliwa na mtu niliyemuamini.MAPENZI YANA NGUVU SANA ila endelea kuenjoy hadi giza litakapoingia.
 
Sina hata cha kuchangia coz hapa nilipo nipo kama mgonjwa kwa ajili ya kuzinguliwa na mtu niliyemuamini.MAPENZI YANA NGUVU SANA ila endelea kuenjoy hadi giza litakapoingia.

Pole sana,mimi mwenyewe nimepita kote huko.ila kuna sehemu itafika,utakamatwa tu,utatulia tu,utamwona ur beibe kama mama mzazi jinsi anavyokupa direction za maisha..
 
Don't know about raha.. (watu hawapendi kukosolewa..)
Bahati...? (for sure..)

Ni bahati iliyoje kupata the full package kwenye partner mmoja.
 
Don't know about raha.. (watu hawapendi kukosolewa..)
Bahati...? (for sure..)

Ni bahati iliyoje kupata the full package kwenye partner mmoja.

inawezekana unawachambua chambua.kila msichana ana qualities zake.but others wanavyote.ombea ukutane nae wa namna hiyo.hata akipita jlo hugeuki.
 
mi yangu macho utapeli mwingi mjini meeen

Speaking from experience or? coz they say it takes one (a tapeli) to know one (another tapeli)!
n th way i was planning to PM u on this mata...wai!
 
Pole sana,mimi mwenyewe nimepita kote huko.ila kuna sehemu itafika,utakamatwa tu,utatulia tu,utamwona ur beibe kama mama mzazi jinsi anavyokupa direction za maisha..

Ndio maana nasema endelea kula raha kaka
 
inawezekana unawachambua chambua.kila msichana ana qualities zake.but others wanavyote.ombea ukutane nae wa namna hiyo.hata akipita jlo hugeuki.

No body is Perfect... (cha muhimu ni kupenda mazuri na mabaya yake)

thumbnail.aspx
 
Pole sana,mimi mwenyewe nimepita kote huko.ila kuna sehemu itafika,utakamatwa tu,utatulia tu,utamwona ur beibe kama mama mzazi jinsi anavyokupa direction za maisha..
.

Mmmh! - she is giving you directions za maisha?! - wacha we ... enhe alafu unataka kuoa mwakani?!

... anyway kwasababu unataka kuoa ntakuambia 1 thing ... ever heard of controlling wife?!

... huwa wanaanzaga hivi hivi!

I highly recommend that you wear the pants before your wife does!. Otherwise, before you know it, you'll be wearing a skirt around the house while dusting the furniture.

Some men will do anything for their women. Unfortunately, women will see this as a sign of weakness. And then before a man knows it, his woman will be wearing the pants in the relationship.

I think of what can happen to you as other men who let their women make the rules. Fortunately for you, if you can’t do something now – you’d be whipped. Yes, we've all heard it. The dreaded seven letter word whipped . And believe it or not, if you're not careful with how you behave with your love, you too might be the next man who's cat-whipped to a pulp.

When it comes to relationships, the ideal situation involves communication and equal partaking in both the decision-making and responsibilities. But this is not the case with most couples. In general, it is usually one spouse who ultimately takes control.

I believe that it is the man's fine duty to control the decision-making process of all family or relationship related decisions -- or at least pretend he does.

Why? Because like it or not, it is probably the only thing left in life that we men can still lay claim to. Once you lose it, you no longer have anything to look forward to.

Watch-out or you'll be wearing a skirt around the house while dusting the furniture.

.
 
Back
Top Bottom