Raha binadamu jipe mwenyewe, Yatch boat kila kitu ndani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Luxury.jpg
Luxury 2.jpg
Luxury 3.jpg
Luxury 4.jpg
Luxury 5.jpg
Luxury  6.jpg
 
Kwa Mungu Hayo Madogo Sana
Ila Duh!! Maisha Hutofautiana Sana Yaani Hapa Sukari Tabu,Wafanyakazi Hewa

Hapo Ndani Ya Chombo Sukari Ipo,Wafanyakazi Ambao Siyo Hewa Wapo.
 
Iko sawa sana hii yatch..natamani kujua ile boat ndogo pale chini huwa inakaa wapi pindi hii kubwa inapoanza safari.. sijui huwa inaelea vilevile..jamani mtu mwenye kauzoefu juu hizi boat ajitokeze hapa kunipa somo kidogo.
 
MziziMkavu tafadhali nataka kuomba kazi humo nawezaje kupata mawasiliano? Nina leseni ya masters unlimited lakini naweza kufanya hata chief mate au hata second mate yaani
 
Mega Yatch nzuri sana. Sehemu kwa ajili ya helicopter landing, nimeona pia boat ndogo inaingia ndani ni noma sana.....kingine security system ya hali ya juu ni muhimu sana coz wamiliki ni billionaires na ni obvious wanawindwa na wabaya wao, security ni number one priority. Mega Yatch ni verrrry costiful to maintain, unatakiwa uwe na dough ndefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom