Raha bin utamu...

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
HII NDIO RAHA NA UTAMU WA KUANGALIA LONG TENNIS YA WADADA.
4133.jpg
 
Vangi usishtuke sana kutajwa au kufananishwa Venus na JD na mwanamme inaonyesha umaarufu wake tu.

Btw naona hukujali dignity ya ms williams hapa umejali ya JayDee tu au kwa kuwa hajui Kiswahili?
 
mnh unajiuliza mwenzetu raha bin utamu kauonea wapi?:twitch::twitch::twitch:jibu ni ukame wa kufanya mapenzi!,ndio nyie nyie mnabaka wamama na vibibi!:brushteeth::brushteeth:
 
DN. sikutaka kucoment kwenye thread hii lakini post yako imenilazimisha. Kwakweli siyo utu kabisa kuanza kumtaja mtu katika level ya kumshushia hadhi yake. Huyu lady JD ni mke wa mtu, mwenye mke ameridhika naye. Wewe ukisema ni kama dume unajenga picha gani? Ni vizuri tukaheshimu dignity za watu. Huyo JD anaweza kuwa ni member wa forum hii, hivi akisoma maneno yako anajisikiaje? Kwakweli kama nimekosea niwieni radhi lakini hili sijalipenda.

i apologize and i have deleted my post.... nadhani ni hasira za kukosa red label mji mzima wa Dar bila kuambiwa sababu nikaishia kunywa ballantine...

APOLOGY TO JD, VENUS, WEWE NA WANAJAMII

DE NOVO
 
i apologize and i have deleted my post.... nadhani ni hasira za kukosa red label mji mzima wa Dar bila kuambiwa sababu nikaishia kunywa ballantine...

APOLOGY TO JD, VENUS, WEWE NA WANAJAMII

DE NOVO

Nashukuru De Novo kwa kukubali mapungufu hayo, kwa heshima kubwa mimi pia nimeamua kuondoa post yangu. though bado imebaki katika kopi yako.
 
Kwanza inaitwa Lawn Tennis na sio Long Tennis halafu mdogo wake kajazia balaa na picha zake zimo humu ukiangalia posts za nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom