Rage, njoo kwenye mkutano wa Simba na bastola yako tukusaidie kuibeba.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,821
Rage oyeeeeee!!!!!!
Kumbe kweli CCM ni chama cha majambalika wanaotishia raia kwa bunduki!!
Kwenye kikao cha Simba uje na mguu wa kuku ili tukusaidie kuubeba maana unaonekana ni mzito sana.
 
Rage amepoteza dira na mwelekeo. Ccm imefika ukingoni, viongozi wake wanatudhihirishia
 
Mwanamichezo anapopanda na silaha kwenye jukwaa la siasa tumuelweje?
Tuelewe ni mtu aliyeshindwa kisaikolojia, ndio maana amebeba bunduki ili kuboost kujiamini ndani yake.
Rage umenisikitisha sana, yaani umeonyesha USOMALI wako
 
Back
Top Bottom