Rafiki zangu wote wa JF salaam

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
367
68
wana-JF naimani kila mmoja kwa nafasi yake yuko poa na anaendelea vizuri na majukum ya kila siku, napenda kuwashukuru wote walionikaribisha humu ndani na pia nasikitika kusema kuwa nitapotea kwa muda kidogo naenda kusherehekea sikukuu hizi za mwaka mpya na x'mass nikiwa na babu na bibi huko kijijini napenda kwa moyo mkunjufu kuwatakia wote heri ya x'mass na heri ya mwaka mpya pia tukutane 2012 tukiwa na mawazo bora zaidi yatakayosaidia kujenga nchi yetu na zaidi sana kudumisha mshikamano tulijiwekea humu ndani ya JF ambapo members tuneheshimiana na kupeana mawazo pale mmoja wetu anapohitaji msaada wa mawazo, nisiwachoshe kwa ujumbe mrefu sana, kwa herini jamani, msherehekee salama

KWA WALE WENZANGU WA MOJA MOTO NA MOJA BARIDI PLEASE MSIENDESHE VYOMBO VYA MOTO MKIWA MMELEWA
 
kumbe unapotea mwaka mzima? orait....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom