Rafiki yangu kakimbiwa na demu wake

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Rafiki yangu mmoja kalalamika sana kisa demu wake kamkimbia ila nilipomhoji kwa makini ni kuwa demu alikuwa anapenda sana kutoa mambo flan ti*O .na jamaa naye alikuwa anapiga mara moja moja lakini yeye hii kitu haipendi.kinachonishangaza zaidi ni kuwa jamaa anasema kuna siku aliombwa kulamba tigo na akalamba kweli kutokana na ulabu aliokuwa amepiga,lakini akaapa kuwa hatarudia tena ,baada ya siku chache tu jamaa akapata taarifa kuwa demu anatoka na lijamaa lingine huni tu na sio kama yeye manake yeye jamaa ni brother men la kufa mtu.mimi jamaa nilichomwambia ni kuwa inabid aendane na mazingira aliyoyakuta ..kwazi kwenu wakuu manake hii kitu inaweza kumtokea mtu yoyote kati yetu
THIS IS TRUE STORY:
na huyo msichana mkimuona jamani lazima utasemajamaa anazusha dada wa watu mpoleee, na kisura chake cha babegirl
 
hee!!!!!!! wallah kiupande mwengine tukiangalia huu ulimwengu wa mapenzi wasemavyo wenyewe ni kitu kimoja ambacho hupelekea watu kufanya mambo ya ovyo sasa huyo mwanamke ukiangalia atakwenda anapokwenda lakini kuna siku yakisha mkutaaa ndio atajua kuwa huyo kijana hakuwa akimdhulumu bali ni kumtakia kheri katika life period yake,,,
ushauri mwambie huyo kijana aendelee na mambo mengine na kuacha kujishughulisha na huyo tena kwani ukiangalia waschana watulivu nw wacha mungu alhamdulillah bado wapo,,,na akimpat bas ajitahid kuoa si kubaki kuziini,,,ni ushauri tuu,,,lakini mpe pole na matatizo yaliomkuta,,si yey tuu wengi wapitia mtihani huo,,
 
huyo jamaa,mwambie akipata demu hawe anamtumia vizuri ndiyo maana demu kamkimbia kaenda kwa jamaa mwingine...hakuna ustarabu kwenye mapenzi...swara la kulamba tigo nilakukaa wenyewe nakuzungumza ..yanaeleweka.
 
dah hatari jaman
pole yake
aachane naye tena bora kasepa mapma ili aende akatafute wenye hulka yake mbele
...angemsumbua sana km angemweka ndani so ni bora kaenda
AJIPANGE ATAPATA DEMU MSTAARABU AACHANE NA MWANAHARAMU UYO
 
mhhh hiyo ngoma nzito, kiuhalisia ni kwamba huyo jamaa ameshindwa kumridhisha kadadaa sasa ni bora ampotezee, coz huyo kadada cio type yake.
 
Rafiki yangu mmoja kalalamika sana kisa demu wake kamkimbia ila nilipomhoji kwa makini ni kuwa demu alikuwa anapenda sana kutoa mambo flan ti*O .na jamaa naye alikuwa anapiga mara moja moja lakini yeye hii kitu haipendi.kinachonishangaza zaidi ni kuwa jamaa anasema kuna siku aliombwa kulamba tigo na akalamba kweli kutokana na ulabu aliokuwa amepiga,lakini akaapa kuwa hatarudia tena ,baada ya siku chache tu jamaa akapata taarifa kuwa demu anatoka na lijamaa lingine huni tu na sio kama yeye manake yeye jamaa ni brother men la kufa mtu.mimi jamaa nilichomwambia ni kuwa inabid aendane na mazingira aliyoyakuta ..kwazi kwenu wakuu manake hii kitu inaweza kumtokea mtu yoyote kati yetu
THIS IS TRUE STORY:

Utaniua lakini kulamba tiG0 hapana silambi maisha!
Khaaaaaa! Maana hapa naona kama nalamba divi laive kabang! Hunilambishi walahi
Hata kama niko mitungu ya namna gani noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Yaya gete! Ngikundifo! Ndanse bhagabho! Fuma wicha! Mbura! Licling tiG0 wai! Hapana
 
Unavoapia mkuu, utadhani hii dunia ni bapa? subiri yakukute.....LOL
 
dah hatari jaman
pole yake
aachane naye tena bora kasepa mapma ili aende akatafute wenye hulka yake mbele
...angemsumbua sana km angemweka ndani so ni bora kaenda
AJIPANGE ATAPATA DEMU MSTAARABU AACHANE NA MWANAHARAMU UYO
kwani demu mstaarabu ni namna gani jo?mbona hao tunaowaona wastaarabu ndo hawafai kabisa. mwana unajua nini, jifunze kuanzia sasa. kua ukipenda boga penda na ua lake(twanga kotekote aka zantel).
 
Utaniua lakini kulamba tiG0 hapana silambi maisha!
Khaaaaaa! Maana hapa naona kama nalamba divi laive kabang! Hunilambishi walahi
Hata kama niko mitungu ya namna gani noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Yaya gete! Ngikundifo! Ndanse bhagabho! Fuma wicha! Mbura! Licling tiG0 wai! Hapana

mzee wewe hayajakukututa haya ndio maaana unapiga makelele hivi
 
kama mwanamke mwenyewe ndio alikua anataka atinduliwe nyume yeye angempa tu haki yake ila angemuweka wazi anafanya hivyo kwa sababu ya kumridhisha tu!pia angemwambia hapendi kua na mwanamke wa namna hiyo.kama walikua wanapendana kweli lazima mwanamke angejitahidi kubadilika ingawa ingechukua muda.lakini kuapia tu kiholela holela kumemfanya mwanamke ahisi jamaa hampendi coz wanawake wote wanapenda zile za "do anything for her sake."
 
Watu waache kuiga kila upuuzi wanaouona au kuUsikia.Mambo haya yameshamiri zaidi sku hizi kwanini?
Watu wameacha kufuata misingi ya imani za dini na tamaduni zao na matokeo yake ndio hayo. Huyu jamaa yako kama naye angekuwa mtu mwema asiyependa uchafu kama hivi basi asingemkubalia. Sikatai kuwa binadamu tulivyoumbwa kuanguka dhambini ni kitu kilichokuwepo hata mwenyezi Mungu anaujua udhaifu wetu lakini haina maana ukianguka basi usiinuke tena. Mwambie ajirudi na wala asijihukumu bali atubu aendelee mbele na maisha yenye uadilifu.

Ila tujihurumie tunavyojiumiza kwa mambo yasiyo na maana!
 
Rafiki yangu mmoja kalalamika sana kisa demu wake kamkimbia ila nilipomhoji kwa makini ni kuwa demu alikuwa anapenda sana kutoa mambo flan ti*O .na jamaa naye alikuwa anapiga mara moja moja lakini yeye hii kitu haipendi.kinachonishangaza zaidi ni kuwa jamaa anasema kuna siku aliombwa kulamba tigo na akalamba kweli kutokana na ulabu aliokuwa amepiga,lakini akaapa kuwa hatarudia tena ,baada ya siku chache tu jamaa akapata taarifa kuwa demu anatoka na lijamaa lingine huni tu na sio kama yeye manake yeye jamaa ni brother men la kufa mtu.mimi jamaa nilichomwambia ni kuwa inabid aendane na mazingira aliyoyakuta ..kwazi kwenu wakuu manake hii kitu inaweza kumtokea mtu yoyote kati yetu
THIS IS TRUE STORY:
na huyo msichana mkimuona jamani lazima utasemajamaa anazusha dada wa watu mpoleee, na kisura chake cha babegirl
mhhh.... ngoja nikapunge upepo kwanza...kweli pombe si togwa
 
Utaniua lakini kulamba tiG0 hapana silambi maisha!
Khaaaaaa! Maana hapa naona kama nalamba divi laive kabang! Hunilambishi walahi
Hata kama niko mitungu ya namna gani noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Yaya gete! Ngikundifo! Ndanse bhagabho! Fuma wicha! Mbura! Licling tiG0 wai! Hapana
wewe we we husiape kabisa kwenye hivi vitu, mshukuru Muumba tu lakini husijiapize kabisa kwenye mapenzi. Mapenzi mapumbavu na ni kama uchizi shauri yako
 
Halafu wanaoapa kwa nguvu hivyo ndo huwa rahisi sana kufanya waliyokataa. Ngoja utapatikana tu tatizo huwa hatupo kushuhudia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom