Rafiki yangu kadondokewa na ukuta chooni

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Rafiki yangu akiwa ktk starehe ya dunia waswahili wanasema kukata gogo hamadi ukuta wa choo passport size ukashuka na kumkandamiza rafiki yangu huko mbagala ukuta ulivyo shuka na choo kikashuka nacho ni athari za mafuriko ya jiji. Nasema kwamba alikuwa anakata gogo au kimba kwa sababu wkt wasamalia wema wanamwopoa suruali wameikuta magotini na amefariki tunafanya taratibu za kuzika leo.
 
mmh polen sana mkuu.
 
Huyo si rafiki yako! Lad jamaa tu! Rafiki wa kweli afe then umsarambue na vitu kama Kimba, gogo!. Ok above all R.I.P
 
poleni

kufa kwa kudondokewa na ukuta au kutumbukia chooni kwa kweli ni 'kifo kisichopaswa kutokea'

kwa miaka ya siku hizi.....

vyoo vya shimo sio lazima vijengwe juu ya shimo
mnaweza kabisa weka shimo pembeni
mkapitisha mabomba hadi kwenye choo na wala isigharimu pesa..
gharama karibu ni ile ile....
 
great thinker!
 
Vyoo vya uswazi mwenyewe unajua lazima tank la kinyesi chini pa kunyea umechuchumaa panakuwa juu na unaposhusha mzigo unausikia kabisa chini ngiiiii
 
mambo ya kusadikika ... sitegemei kama huyo mtu anaweza kukosa sehemu sahihi la tendo lake
 
Rafiki yangu akiwa ktk starehe ya dunia waswahili wanasema kukata gogo hamadi ukuta wa choo passport size ukashuka na kumkandamiza rafiki yangu huko mbagala ukuta ulivyo shuka na choo kikashuka nacho ni athari za mafuriko ya jiji. Nasema kwamba alikuwa anakata gogo au kimba kwa sababu wkt wasamalia wema wanamwopoa suruali wameikuta magotini na amefariki tunafanya taratibu za kuzika leo.

Pole sana Fidel80

May his Soul Rest in Peace
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom