Rafiki yangu amenishawish ni join Jf.

karibu sana jamvini walinazi kufika umefika utoke uende wapi?
 
Umekaribishwa bila shaka, jisikie uko jf the home of great thinkers.
 
Karibu mkuu! umesoma vizuri sheria za jf? usije ukaozea jela maana huku kuna 'segerea' inaitwa BAN ni noma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom