Rafiki wa mume wangu ananitaka

ushamuonyesha vitu fulani bwana..ushaona wapi nzi anatua kusafi
Kweli kabisa,Lazma alishapiga mahesabu yake, na jinsi unavyobehave kwake akajua lazma utakubal tu, vinginevyo asingethubutu hata kukutongoza tena alipie na chumba kabisa mhhhh miamekudharau sana sana.Wala usimwambie mumeo, jipange mwenyewe ulimalize.
 
I feel you..had same feelings..haiwezekani hata kama mwanaume ni mkware vipi afanye hivyo alivyo fanya kama huyo mwanamke ajachangia kwa kiasi fulani...Fuata ushauri wa SMU jitizame unabehave vipi mbele za watu..haiwezekani kubehave anyhowUshauri wangu huyo dada aache ngono wakati ana stead relatioship..maelezo ya huyo dada yanaonyesha anatembea nje ya ndoa..anaposema afadhali angekuwa mtu wa mbali asiye na ukaribu na familia...my instinct inaniambia huyo rafiki wa mumewe anazo habari zake fulani kuhusu kutokuwa mwaminifu naye aliamua kutake chance..
sijawahi tembea nje ya ndoa much less hata nje ya uchumba. mi nimesema hivyo kwa maana kwamba angekua mtu wa mbali asietufahamu akantongoza ndo hapo ningemjuza kua mi ni mke wa mtu. shida ni huyu ambae anafaham fika kua mi ni mke wa rafikie. na hicho chumba ye ndo alinambia kwamba kachukua chumba maana anataka akaiseme hiyo shidake huko. kwa kuona mazingira hayo nikajua kua hana nia njema. ndio maana niliondoka.
 
Usimwambie mume wako alafu huyo rafiki akuchongee unamtaka ndo utajua kama ukweli ni mzuri au la!!Ila kama...narudia tena kama ungemjulisha mumeo shemejio anakuomba mkutane ingekua rahisi kumweleza yaliyojiri....kitendo tu cha kwenda kumwona rafikiye bila yeye kujua kinaweza mpa maswali mengi.

So jifunge kibwebwe umwambie kabla rafiki hajaanza kumwambia “juzi nlikua na shemeji ujue...alikua anapita maeneo nikamwalika kinywaji.“

+1 ..Majibu ndio hayo ..kwa msisitizo nime-highlight kwa nyekundu kama macho yako hayakuona kumbuka kuyafanyia kazi....
 
kwahiyo ina maana angekuwa kama hapo kwenye bold ungempa, si ndiyo? Jichunguze utakuwa na matatizo

nasema hivo nikimaanisha kwamba angekua mtu asienifahamu baada ya kusema ndo ningemjuza status yangu.
 
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.

kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.

Mpatie mambo kudumisha urafiki....hiyo kitu haichakai wala kuacha shombo! Jirushe
 
sijawahi tembea nje ya ndoa much less hata nje ya uchumba. mi nimesema hivyo kwa maana kwamba angekua mtu wa mbali asietufahamu akantongoza ndo hapo ningemjuza kua mi ni mke wa mtu. shida ni huyu ambae anafaham fika kua mi ni mke wa rafikie. na hicho chumba ye ndo alinambia kwamba kachukua chumba maana anataka akaiseme hiyo shidake huko. kwa kuona mazingira hayo nikajua kua hana nia njema. ndio maana niliondoka.
uko unaujua wewe bhana, hapa tunashauriana tu
 
Kweli kabisa,Lazma alishapiga mahesabu yake, na jinsi unavyobehave kwake akajua lazma utakubal tu, vinginevyo asingethubutu hata kukutongoza tena alipie na chumba kabisa mhhhh miamekudharau sana sana.Wala usimwambie mumeo, jipange mwenyewe ulimalize.
unajua hawa ndo wale wanawake wakiona marafiki wa bwana zao wanakimbilia kioo kupandisha maziwa,kana kwamba haitoshi na vidalili vya ajabu ajabu wanatoa...weye huyu anaukichaa gani mpaka akodi na chumba kabisa!
 
... wanajidhalilisha to say the least

sometimes wanajipendekeza hadi wanaboa
 
Kama alivyosema SMU hapo juu, inaelekea kuna shida/migogoro ya mara kwa mara ktk ndoa yako ambayo huyo shemeji yako anaijua na sasa anataka ku-take advantage. Pia inaonekana huyo shemeji yako anakujua kuwa wewe ni mrahisi (single click) ndo maana alichukua kabisa na chumba. Isitoshe inaonekana ulishawahi kuonyesha signs za kumpenda ndo maana ukakatisha mihadi na mr. wako ukaenda kumuona yeye bila kumjulisha mumeo.

hakuna hata migogoro kwa kweli. mtu mwenyewe huwa sionani nae mara kwa mara. yee hutuma ujumbe wa salamu nami humjibu kwa nidhamu ipasayo. na hata hiyo kwenda kumwona ni kwavile alisisitiza alikua anashida sana na alitaka nimhelp. kwa ufupi tu ni kwamba kuna kipindi waliwahi kua na ugomvi na mkewe wakati akiwa mjamzito na nilimhelp kumsihi mkewe kumsamehe ( maana ilikua kesi mbaya ya kutembea na hg wao) sasa hata aliponiita kwa dharura nilijua ni jambo la kifamilia pia ndio maana sikusita kwenda kumsikiliza.
 
unajua hawa ndo wale wanawake wakiona marafiki wa bwana zao wanakimbilia kioo kupandisha maziwa,kana kwamba haitoshi na vidalili vya ajabu ajabu wanatoa...weye huyu anaukichaa gani mpaka akodi na chumba kabisa!

...acha kumuhukumu mwenzio,
unless una uhakika na unachokisema shosti
 
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone. Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
Unavyosema "bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu" unamaanisha kwamba angekuwa ni mtu ambaye huwa unawakubalia wakulambe wanaume ambao hawana relationship na familia yenu
 
hakuna hata migogoro kwa kweli. mtu mwenyewe huwa sionani nae mara kwa mara. yee hutuma ujumbe wa salamu nami humjibu kwa nidhamu ipasayo. na hata hiyo kwenda kumwona ni kwavile alisisitiza alikua anashida sana na alitaka nimhelp. kwa ufupi tu ni kwamba kuna kipindi waliwahi kua na ugomvi na mkewe wakati akiwa mjamzito na nilimhelp kumsihi mkewe kumsamehe ( maana ilikua kesi mbaya ya kutembea na hg wao) sasa hata aliponiita kwa dharura nilijua ni jambo la kifamilia pia ndio maana sikusita kwenda kumsikiliza.

kisasangwe wala usiwe na jazba pamoja na watu wengine hapa kukulaumu kwa namna moja,
Ila lazima utambue kuwa kuna midume mingine haina haya hata kidogo,
domo lake limekaa kutongoza tongoza kila skirt linaloiona inapita usoni kwake,
kuna siku waweza tongoza hata mama zao wadogo...................................

Mpotezee tu huyo, tena mbaya kwakuwa ana mke lakini bado anataka chokonoa wengine,
midume kama hii ni kuitandika vibao tu, yeye anafikiri urijali ndo kutongoza tongoza.............?
 
Dawa ya huyo nikumteka..
Beba ka voice recorder kwenye
Pocha la mkononi kutananae tena
Mrikodi halafu hapo ndio umkabidhi mumeo.

Maana kuna wanaume wengine huwaamin
marafiki zao kuliko wake zao. Sababu tu
Wamejuana kwa muda.
Nimeipenda hii style ya kiintelijensia...
 
Hujamaliza vizuri kwani hujasema ulifanya nini baada ya kuambiwa. Chumba mlikitumia? Isijekuwa ali-perform poorly ndo maana umemleta Jamvini

haahahha jamani bora ncheke mie. hata sikuendelea kumsikiza. nilinyanyuka na kuondoka na wala huko kwenye chumba sikusogea. yeye tu alisema kwamba amechukua chumba ili tupate faragha anieleze shida yake. kwa namna alivokua kashakunywa sikutaka hata kumjibisha maana niliona hakustahili kujibiwa.
 
Je wakati unaenda huko kwa huyo shemeji yako, ulimuambia mume wako kwamba shemeji ameniita? kama ulimuambia itakuwa rahisi sana yeye mume wako kuamini, ila kama hukumuambia mh!!!!!!!!! Cha msingi umjulishe mumeo tabia ya rafiki yake na ikiwezekana nenda akikuita kwa mara nyingine kisha umrekodi itakusaidia sana kutoa ushahidi kwa mume wako hasa kama wameivana naye sana na kama unavyosema mnamheshimu coz husband anaweza asikuelewe
 
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.

kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.

Mimi hapo nimepapenda, kumbe asingekuwa mtu wa karibu ungemkubalia? Duh! kazi ipo kwenye ndoa zetu
 
Back
Top Bottom