Rafiki wa kiume wa holiday...

Hapo tu mdio pagumu....kwingine kote poa!!
Noana pia hutukaki vibabu....

4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
Rejao, we Bweg.e Kumbe ndo wale wale Magamba wenye Fikra Mgando za kidini dini, Ndo Mana ukisiaga CDM tu Mavi yanagonga chupi
 
hicho pia namudu bila kwikwi.tatizo ni hicho nilichokwambia mwanzo tu.ukilegeza tu na hicho funga hii search kabisa kwani utakuwa umeshanipata!i love nature,sana,ila wasiwasi labda naweza kukuboa as naweza kuwa mkimya sana at times(could work on this,hata hivyo!).hii kazi ngumu sana kumbe jameni,nishaanza kusahau haya....lol!
mimi mume wa mtu never! Vitu used sipendi mie
 
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate7-awe single ... kama wewe ni mwanaume usiwe na mke/mpenzi
...kama mwanamke yeye sawa haina shida
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
smile, please ukirudi naomba feedback, kama itawezekana! i cant wait to hear it.
 
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili... natafuta rafiki jinsia yeyote mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk... au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani... sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha. 2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common. 3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi.... 4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana 5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance 6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate7-awe single ... kama wewe ni mwanaume usiwe na mke/mpenzi ...kama mwanamke yeye sawa haina shida kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali. please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa .... sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
Dada angu mie naona katika vigezo vyako ninavyo vingi kweli lakini haya masharti namba 6 si mchezo. Mimi nina miaka 31 kwahiyo hii inamaanisha kuwa ingekuwa mwakani ninge-qualify. Mimi ni Mwanaume, nisiwe na mpenzi kivipi sasa wakati ushasema tusiongelee masuala ya mapenzi wala nisikusifie. Nipo pande za mkoa wa Iringa, huku kuna misitu, mbuga za wanyama na kila kitu kinachofaa kwaajili ya ku-refresh ur mind. Naomba badilisha hicho kipengele tu ili nilete maombi yangu ya dhati kwako. Ol ze besti!!
 
ha ha ha ha ha, Bishanga umenichekesha.

Ila wewe hujui tricky hapa.

Hujawahi fukuzia mlokole na wewe ukajidai mpendwa?

Muulize klorokwini hizi mbinu.

Mie napenda kuangalia kangaroo na michongoma.
Kongosho,kumbe wewe hujamjua Smile,bishanga sio type yake bana,kwanza huu mkitambi huu smile atakubali wapi aonekane in publicum na lizee la hivo,mvi mpaka kisogoni.
Vekesheni yangu nitakwenda na bi mkubwa Eliza wa Tegeta.
 
Last edited by a moderator:
Best of lucky, maana hapo nina moja tu, ya cheti cha kuzaliwa.
Nacho ni certified copy of the original
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom