Rafiki wa kiume wa holiday...

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate7-awe single ... kama wewe ni mwanaume usiwe na mke/mpenzi
...kama mwanamke yeye sawa haina shida
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
 
hahahaha mmmhh mamiii masharti mengine magumu mbona jamaniii,,, hasa hapo kwenye umri mmh ila kwingine kote nimefit
 
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
Hapo tu mdio pagumu....kwingine kote poa!!
Noana pia hutukaki vibabu....
 
mbombo ngafu smile huachi kunishangaza. natamani ningekuwa na vigezo ningejiunga na wewe
 
Smile we unacho tafuta ni wale ma gay, mana hakuna mwanaume ambaye anaweza kwenda porini akakuwacha asifanye sex na wewe :biggrin:
 
Mi nna vigezo vyote ila cheti nilikimisplace...halafu cash ndo sio kivilee.
Halafu niulize kuhusu kushea, tunashea kila kitu?
Sasa kama umependeza nisikuambie? ntashindwa kuvumilia hili sharti
 
kushear cost...
 
dah kumbe ni wewe smile.!! huwezi amini yani nimeota npo vacation na mwana jf mmoja.. Am living ma dreamz, sa tunaondoka lini??
 
smile umejilipua...........
hawa wakaka watakimbia huu mlipuko maana walijua makopakopa yatakuwepo wewe umepiga mkwara...anyway nilisikia Bishanga anataka kwenda vakesheni....(joke)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom