Rafiki wa Kike..

basi tutaendana....mi napenda kiroro mbaya kabisa....na raha yangu niwe tilalila
 
mimi nafurahi watu wanapotaka kupost an Embarrsing thing they create a single day ID.

Nipo tayari kwa hilo dadito as my signature say it all
 
mimi ni kajana /male\ mwingi wa mawazo chanya na mchapa kazi..sina mke wala mtoto..natafuta rafiki wa kike...sifa zangu ni hzi..

-- napenda alcohol
-- kwenda beach ( my fav ni nungwi zanzibar--rafiki uwe tayari kusafiri kwa siku za weekend )
-- napenda sana kucheka
-- kwenda movie
------------------------------ni hayo tu
poa ila unachekacheka nini sasa?
 
duh hizi trip mie ndo nshazimika ..ila si kwa gharama zako ehhhhhhhh,
faster acha nifunge funge hapa kesho zenji, next day rwanda kucheki mafuvu another day in kampala lolohapo chibanduki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom