Radio Zetu

Gordon Brown

Member
Aug 28, 2011
9
0
Katika kizazi kijacho kitakuwa hakijui kiswahili fasaha kwa kiasi kikubwa sana, kwani baadhi ya radio zetu zimekuwa mstari wa mbele kuua lugha yetu na kuingiza maneno ya kihuni tuu, sipati picha huko mbele itakuwaje.
Hii ni hatari sama na wizara husika imevikalia kimya vyombo vya habari.
 
, .Hiyo ni kweli, ni hatari sana baadae, tena baadhi ya radio presenters hawajui kiswahili fasaha still watuma CV,s zao BBC na Al-Jazeera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom