Radio za gari

wakuuu nawaomba mniwie redhi sanaaaa binaadam mwenzenu, nilikosea namba ya simu sasa nimeirekebisha, samahani kwa kuwakwaza dah sorri, namba sahii ni 0715250540 ama 0773250540
 
Mfikilwa,

Kinginge kinachoweza kusaidia, ni kutuma model number ya hizo radio. Kwanza itakupunguzia wewe maswali mengi kuhusu radio hizo, lakini itatupa nafasi wanunuzi watarajiwa kujua aina ya radio unazoouza kwa kuangalia kwenye internet specs na reviews.
 
Back
Top Bottom