Radio za gari zinaishia frequency ya 90 tu

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Wakuu naomba msaada wenu. Radio za gari zangu (nadhani gari nyingi za kutoka Japan) zinasearch hadi 90 peke yake. Nini nifanye nipate radio zenye frequency zaidi ya 90?
 
Tumia FM modulator
 
Kuna kidude kinauzwa 20,000 Fundi anakufanyia installation kwenye redio ya gari unaweza ukapata frequency zaidi....watafute wauzaji wa redio za magari huko lumumba na kwingine...mie ninaitumia.
 
Fm Modulator nadhani itamsumbua kwa freguency zinazozidi 90. Kifupi radio za magari zilizokuja na magari hazizidi 90 kutokana na mawimbi ya Japan kuwa chini. Suluhu badili radio.
Mkuu ngoja nikuelekeze kidogo coz i use this thing na niliogopa gharama ya kununua new radio,hiyo fm modulator baada ya kulinganisha mawimbi yako ya radio mfano 88.8 kati ya radio na hiyo modulator hiyo modulator ina sehemu iliyoandikwa mode pale pana music na radio,music ni kwa flash uliyoichomeka na radio sasa hapo unaanza kusearch radio station unazozitaka inaanzia 87 hadi 108 na station zote ziko poa.
 
hapo penye bluu ni elimu mpya kwangu kwani nilikuwa na tatizo hili, nakwenda kulifanyia kazi nitaleta majibu
 
Back
Top Bottom