Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,349
Kwa nini radio za Bongo hupenda kutupigia nyimbo za kipuuzi redioni wakati tuna muziki wetu wa asili? Muziki wa fleva uwe unapigwa asili mia kumi tu kwani hauna maadili yeyote yale katika jamii yetu na uwe unapigwa asubuhi tu ili watoto wapate kusikia nyimbo za kibigijii. Radio za bongo tuwekeeni taarab, bongo dansi, chakacha, kibao kata nk...ila kwa flags mnachemsha, hatuzitaki tena big hii zenu.