Radio Ujerumani (Deutsch Velle - DW) Idhaa ya Kiswahili Udini Mtupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, Feb 1, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,054
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wasikilizaji wa mara kwa mara wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Ujerumani (DW) mnaonaje hakuna harufu ya udini pale? Sina haja ya kutaja udini wenye umeegemea wapi.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,893
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Fafanua!mimi huwa sisikilizi.
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,248
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Du hakuna UDINI Radio ya Ujerumani yaoDW, mimi naangalia mpaka TV noana ni mambo ya Misri wanawake kwa watoto hawamtaki Muba
  Mambo ya Udini tuache tufuatilie Dowans tu

   

  Attached Files:

 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 25,917
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 63
  mimi huwa naisikiliza kila siku na hakuna harufu ya udini hata moja ...wanaendesh mijadala yao kuanzia kina othman miraji na wengineo..sasa wewe kama una dukuduku litoe sio unatuletea fumbo hapa
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,703
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtu huona anachotaka kuona na husikia anachotaka kusikia. Chombo chochote cha habari kinachokukwaza usikisikilize, na kama ni gazeti usilisome.
   
 6. P

  Pasco JF Platinum Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 17,505
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 83
  Dumelambegu, kama ulivyouliza huku huna haja ya kuutaja udini wenyewe, haya si ndio majungu yenyewe?!.

  Huwezi kuleta unfounded allegetion ukitegemea support ya makuwadi wa inferiority complex ya udini!.

  Mode: Tuliwahi kushauri thread za uzushi zitendewe ipasavyo!?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 17,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Kwani inaendeshwa kwa kodi yako?? huyo aliyewalisha ujinga amewapatia kweli.
   
 8. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,252
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 48
  Hivi hili pepo la UDINI litaisha lini? Kila kitu udini tuuu...... Hatufiki tuendako kwa hisia kama hizi.
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,458
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 48
  Hata mimi, ila huyu Dumelambegu hakueleweka. Zaidi ya hapo udini ni DHANA, so wanaopenda mambo hayo ndo huishia ku-practice huo upupu ila sisi wengine shwaaaari, tuakula kitimoto pamoja hata valuuu na viroba vinatuparia wote wakristo, waislamu na hata ndugu zetu wapagani. Ukiachilia mbali mambo mengine mengi ya msingi tunayoshirikiana katika maisha yani hamna chokochoko zingine kama zinazoandikwa katika yale 'majarida' fulani hivi ati 'kina fulani wanjiandaa kwenda dai mgao wao bungeni waliodhulumiwa toka1961' Nimengundua kumbe waligawana na historia inapotosha kuwa kulikuwa na NATIONALIZATION OF PROPERTIES, AU?:horn:
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,818
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tumpe nafasi muanzishaji mada, labda anayo yaliyojiri ktk idhaa hiyo nguli ya habari ambapo kaona atujuze..
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Post 33
  Thanked 2 times in 2 posts
  CRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  crap!!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 63

  Mkuu mpuuzi kama huyu umpe muda gani? zaidi ya kwamba anatupotezea muda wetu? this thread is RUBBISH.
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,868
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninachowaomba ndugu zangu muendelee kusikiliza idhaa hiyo ya Kiswahili then tuta-revive hii discussion tuone watu watakuwa na maoni gani. Mwezi mmoja unatosha kubaini ninachoongea. Inawezekana ni kweli kwamba I am too much sensitive on religious issues lakini palipo na hali hiyo ni uhuru wangu kuongea. Watu wanaoweza kutusaidia sana katika suala hili ni watangazaji waliopitia DW lakini baadaye walihamia BBC. Kama wamo huku JF naomba watupatie data japo kwa ufupi. These include among others Charles Hilary, Flora Nducha, etc. Halafu angalia correspondents wao katika nchi zote za Afrika Mashariki na Kati uone kinachoendelea. Muhimu kujua ni kuwa kamwe Dumelambegu hawezi ku-post thread isiyo na data. Nilichotaka kujua ni kwamba je, na wenzangu wanaiona hali hiyo?
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,458
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 48
  sawa............:roll:
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 63

  Pls go straight to the point, hivi ni mpuuzi gani atumie mwezi mmoja kufuatilia udaku? you must be joking. tuelezeni waziwazi tatizo la DW ni ABCD......... OTHERWISE NENDENI MKANYWE KAHAWA.
   
 17. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,818
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Abubakar Liongo yuko wapi vile?
  Kama ina-base kidini...ni dini gani sasa inayoegemewa na DW? Maana nakumbuka katika miaka ya 2001 ofisi za hawa jamaa kwa Dar zilikuwa pale jimbo kuu la DSM yaani nyuma tu ya st. Joseph na nilipata kufika na kuwaona, UDINI UPI HUO WALIONAO?
   
 18. a

  atina Senior Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kuna mambo kibao ya kujadili, tukiendekeza mambo ya udini, au hata ukabila hatutafika popote,,,,
   
 19. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,054
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante Bw. Gosbert kwa kuliuona hilo.
   
 20. P

  Pasco JF Platinum Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 17,505
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 83
  Abubakar Liongo yuko hapo, pamoja na Sudi Nnete, Flora Nducha na Charles Hilary pia walitokea hapo kabla ya kujiunga na BBC. Pia wakongwe, Othman Miraji, Mohamed Dahmam na Sekioni Kitojo wako pale. Wengine waliopitia hapo ni Erasto Mbwana, Nasoro Nsekeli, Flarian Kaiza, Jacob Tesha na Ummie Kheri, etc, etc, sasa sijui udini gani aliotaka kuuzungumza mleta mada!.
   
 21. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #21
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,818
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi kabisa,
  Something to argue kwa muanzisha mada, kiukweli binafsi sioni udini kabisa kwa thread hii.
  Labda!
   
 22. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #22
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Mkuu huyu,

  Dizaini anatamani amsikie John au Robert ndio mtangazaji na sio Othman Miraji au Ayesha. Kweli Tanzania tuna watu waajabu bora hata huku jangwa la sahara .
   
 23. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #23
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Asante mkuu.
   
 24. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #24
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,242
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38

  kwa vile imejaa waislamu watupu ndo unataka kusema kuna udini?

  yaani kwa vile hakuna hata mkristo mmoja ndo unasema kuna udini?

  we vipi?
   
 25. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #25
  Feb 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,670
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  sijui litakwisha lini duuu!? unajua jk kaleta balaa sana.
   
 26. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #26
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,737
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu, Tangu mwezi wa tisa uliopita niko maeneo ambayo siipati Deoutch Welle. Ila kabla ya hapo mi ni msikilizaji mkubwa wa vipindi vyao. Naamini mtoa mada anamaanisha vipindi vyao vya mijadala na maoni. Mi binafsi nimewaandikia mara nyingi mno kuhusu jinsi wanavyoegemea upande mmoja lakini nadhani wanapokea mails nyingi mno inawezekana hawajaona za malalamiko! Ila ukweli ni kuwa vipindi hivyo nivya kidini mno. Na nina hakika wanajua wanachofanya. Japo sasa hivi bila shaka watakuwa occupied na matukio ya Tunisia, Egypt, etc... huko kukitulia watarudia 'biashara' yao.
   
 27. k

  kayumba JF-Expert Member

  #27
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi tunamatatizo gani na udini? kila mtu hapa kuna udini, pale hivyo hivyo na sasa wewe umesikia mpaka harufu!

  Kuwa makini na mitazamo yenu???????

   
 28. T

  Thesi JF-Expert Member

  #28
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mara chache nasikiliza Radio Ujerumani lakini kuna siku nimesikiliza Othman Miraj ana mrengo wa kutetea Uislamu na kubeza nchi za magharibi kama kuna inaweza kuwa hilo jamaa anamezwa sana na hoja ya uislamu ingawa ni mchambuzi mzuri. Ingawa nilimsikiliza cku moja lakini ndivo nivomsoma mimi.
   
 29. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #29
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,868
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, naomba nitofautiane na wachangiaji wengi katika mada hii. Mimi sifichi ni msikilizaji mzuri wa DW hasa kipindi cha mijadala ya kisiasa na kiuchumi. Mara nyingi sana mijadala hiyo imekuwa na mlengo wa kubeza nchi za magharibi na kusifia nchi za kiarabu. In fact, hata wazungumzaji kwenye mada wengi wao utasikia wanazungumza kwa njia ya simu kutoka Oman, Jordan, Iran, nk. Wakiongelea masuala ya kijamii utaona wanazungumzia jinsi waislam wanavyoishi kwenye nchi zilizo na idadi kubwa ya wakristo kama Ujerumani. Wakati ule ambapo Mdenmark alipochora katuni za kudhihaki/kukashifu uislam DW ilishambulia sana na kuhoji waislam kuona misimamo yao.

  Mimi najiuliza hivi pale DW dini ni uislam tu!! Inawezekana hicho ndicho anachoongelea Dumelambegu.
   

Share This Page