radio one siwaelewi, kitenge vipi?

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
hawa jamaa sijui vipi, wanashindwa kumtangaza bwana manji kuwa ndie mwenyekiti wa yanga wanabaki kuuma uma maneno tu, vipi wametumwa? acheni uswahili bwna, mnakuwa vituko tu, mnashindana na ukweli? kitenge kagombee wewe basi tujue moja
 
sasa km umeshajua mwenyekiti ni nan mapovu yanayokutoka n ya nn.acha uswahili
 
Inanishangaza sana,wote wanao'support ujinga wa Kitenge na wenzake wa radio one ni mashabiki wa Simba ambao wanatamani habari za Manji kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Yanga ingekuwa ni hadithi za Shigongo,poleni sana kwakuwa hamuwezi kupingana na hali halisi.
 
Kitenge yanga, sema yatakuw maagizo ya boss wao mzee Mengi kwamba jina manji lisisikike kwa mazuri kwnye vyombo vy habari vy ipp, si unajua Manji na Mengi haziivi.
 
Usichokijua ni bora kuuliza!! Kwa taarifa yako Manji aliviwekea pingamizi ya kimahakama baadhi ya vyombo vya habari, vikiwemo Tanzania, Daima na Vyombo vya Habari vya IPP akivizuia kuripoti habari kuhusu yeye, familia yake, biashara zake, na chochote kinachomhusu. Na pingamizi hilo bado hajalitengua...ndio maana hata wakati anazindua Quality Centre habari ile muhimu haikupata coverage kubwa.
 
Kama ni hivyo,sawa...lakini kwanini wasapoti wapinzani wa manji na kuwapiga debe,kwanini wasikae kimya kabisa?! Na *wasiripoti habari za yanga kabisa tuone nani anamuhitataji mwenzake...was***enge wakubwa
 
kaka ajira kitu ingine bwana......usiombe kutimuliwa kazi kwa Tanzania hii ya sasa na hizi elimu za kuungaunga.wacha washikilie hapo hapo waliposhikilia....
 
Inanishangaza sana,wote wanao'support ujinga wa Kitenge na wenzake wa radio one ni mashabiki wa Simba ambao wanatamani habari za Manji kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Yanga ingekuwa ni hadithi za Shigongo,poleni sana kwakuwa hamuwezi kupingana na hali halisi.
KICHWA MAJI WEWE....MANJI ANAUGOMVI NA MENGI PAMOJA NA MEDIA ZAKE ZOTE....hivyo kuna Court order inayoizuia IPP na Media zake kutotangaza lolote linalohusu Manji or Bussiness Under his Management...kama hujui uliza sio unaropoka tuu hiki sio KIJIWE CHA KAHAWA NDUGU
 
kama ni hivyo,sawa...lakini kwanini wasapoti wapinzani wa manji na kuwapiga debe,kwanini wasikae kimya kabisa?! Na *wasiripoti habari za yanga kabisa tuone nani anamuhitataji mwenzake...was***enge wakubwa
wewe ndo mse************ wa kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom