Radio One Breaking News: Serikali Yatangaza Majina ya Wamiliki wa Dowans

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Hatimae serikali yatangaza wamiliki wa Dowans na kutoa ufafanuzi wa fedha wanazostaili.

Sorce:Radio one sterio

MY TAKE
Serikali ya CCM iko determined kujilipa izi hela licha ya kerere zote hizi on a serious note hii serikali imectuchoka
 
Mnamo Saa Saba na Dakika 21, leo tarehe 6 Januari 2011, nimepokea ujumbe mfupi (SMS) toka Radio One Breaking News ukisema:

"Hatimaye serikali yatangaza majina ya wamiliki wa Dowans na kutoa ufafanuzi wa fedha wanazostahili kulipwa. RADIO1 STEREO"

Mtaniwia radhi kwani habari hii inaonekana ina mapungufu kwani hawajaweka majina. Hata hivyo nimeona ni vyema kuwashirikisha. Mod, tupa kapuni kama inajirudia.

Mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Wamiliki wa dowans watakotajwa sio wale watu wanaotegemea kuwasikia.
Msitegemee jina la Rostam wala Lowasa. Tegemeeni majina tofautia ambayo yote ni ya wageni na mmoja wao akiwa ni yule jamaa wa oman kama sijakosea yule afisa wa jeshi
 
fedha za kulipwa tunajua! hata majina yao tunayajua! ni kampuni ya Cyprus ya Waingereza! mambo mengine haya yote ni kiini macho tu na kutoa watu kwenye hot issue ya sasa, watu kuuliwa na polisi Arusha!
 
Kama ni serikali ndo imewataja basi inaonekana inapata mrahaba kutoka kwa wamiliki hao ambao imeonyesha inakubaliana na kila pendekezo La hao wahuni, tujibiwe madeni inayodaiwa serikali na watu binafsi au kampuni imeyalipa yote kiasi cha kutaka kuwalipa wahuni wa dowans.

Tanesco inadaiwa na wadeni wengi tu, uharaka wa kutaka kulipa fedha ambazo tunaweza kuzijengea barabara km 198 kwa kiwango cha lami tutakuwa tunapeperusha bendera ya majuha huku tukishangilia.watanzania hatutaki kuilipa dowans, dumu daima haitakuwa halali kuilipa dowans. Kwa hili tunatakiwa kudhihirisha uhuru na jamuhuri yetu kwamba tunajitala angalau kwa taathira kiduchu.
 
Kamwe haiwezekani atajwe na CCM, mtaniambia, maana kutaja wamiliki ni kumtaja JK, anaebisha abishe, sipo kwa ajili ya mabishano hasa kuhusu hili!!!
 
Wezi huwa siku zote hujificha wasijulikane. Sitashangaa kama watatajwa watu tusiowajua kabisa!
 
Hatimae serikali yatangaza wamiliki wa Dowans na kutoa ufafanuzi wa fedha wanazostaili.
Sorce:Radio one sterio
MY TAKE
Serikali ya CCM iko determined kujilipa izi hela licha ya kerere zote hizi on a serious note hii serikali imectuchoka

Wamiliki wa Dowans Akina nani hao? mbona majina hatujayaona!
 
Redio one wanamaana gani kusema majina yametajwa halafu wao wasiyataje? wanataja kutuharubia consetration ya kufuatilia kinachitokea Arusha. waambie hivi hatudanganyiki,
 
Hakuna Jipya Nadhani watataja yale yale yaliyotajwa na Gazeti Moja a week ago..... Yule Mwarabu, Mkenya na Jamaa wengine... wahusika wenyewe sio wajinga hadi kuwa wamiliki directly kwahiyo hii news am sure haitakuwa na majina tunayotegemea sisi
 
Hii Inchi inaendeshwa kihuni sijawahi kuona. Sioni haja ya serikali kuanza kuhaha kujiosha na kuhalalisha wizi wakati kila mtu anafahamu mwanzo hadi mwisho. Cha msingi, ni kujipanga barabarani kila wakipita tuwazomeee na kuwapiga inapobidi viongozi wowote wenye mawazo mgando.
 
Back
Top Bottom