Radio One acheni unafki

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Kwanini mnapigia kampeni*za waziwazi*mpinzani *wa Yusuf Manji kwenye uchaguzi wa Yanga bw.John jembele,au ndo *mmetumwa na bwana wenu (mengi) mumkandie mani ili ashindwe uchaguzi?....Mtazodoka matokeo ya uchaguzi yatakawekwa hadharani *Yusuf manji "abromovic" akiibuka mbabe:mimba:
 
Hivi bado kuna CLUB ya Yanga au KILABU?

Maana nilimuona yule Mzee Akilimali hazitumii akili zake, baadala yake kafanya klabu kuwa kilabu!

Anamtishia mtu utadhani mkewe vile! Haaaaahaaaa yangaaaaaa mmepigwa ngapi kule pembaaaaaa?
 
Kwanini mnapigia kampeni*za waziwazi*mpinzani *wa Yusuf Manji kwenye uchaguzi wa Yanga bw.John jembele,au ndo *mmetumwa na bwana wenu (mengi) mumkandie mani ili ashindwe uchaguzi?....Mtazodoka matokeo ya uchaguzi yatakawekwa hadharani *Yusuf manji "abromovic" akiibuka mbabe:mimba:
kwahiyo radio one bwana wao mengi na wewe bwana ako manji?......tumewasoma bibie yahoo na bibie radio one!
 
kwahiyo radio one bwana wao mengi na wewe bwana ako manji?......tumewasoma bibie yahoo na bibie radio one!
na wewe mabwana zako friends of simba? kwa hiyo kna bi muuza sura na mabwana zake friends of simba + dewji
 
Umesikia wanavotangaza...kwamba kwenye uenyekiti wagombea ni wawili tu! *Wamepigwa marufuku kutaja jina la manji redioni sijui manji akishinda watatangazaje kipindi cha michezo bla kutaja jina lake
 
Umesikia wanavotangaza...kwamba kwenye uenyekiti wagombea ni wawili tu! *Wamepigwa marufuku kutaja jina la manji redioni sijui manji akishinda watatangazaje kipindi cha michezo bla kutaja jina lake

Mkuu hizi bifu zingine bwana balaa, yaani kutaja jina vijana wanaogopa kumwaga unga duh!
 
Hao ndo zao, kipindi fulani walikuwa na ugomvi na Simba walikuwa hawatangazi kabisa habari za Simba, sasa siku Simba imechukua ubingwa wakaishia kusema tu timu ya Yanga imevuliwa ubingwa lakini hawakusema ni timu gani imechukua ubingwa kweli bifu zingine hata hazina maana, nachelea kusema siku Manji amechukua uongozi wanaweza wakasusia kutangaza habari za Yanga; wanayanga msikatishwe tamaa na hawa jamaa nyie jipangeni mchague kiongozi mnayeona anafaa.
 
Yani kwa ili namchukia MENGI na hii RADIO yake nawashangaa TCRA wamekaa kimya maurid kitenge na katanga wanapotosha umma kwa kusema wagombea ni wawili kwa makusudi kabisa wakae wakijua tunamchagua MANJI ata wafanyaje halafu baada ya hapo tunawapiga marufuku kutangaza habari za YANGA tuone nani anmuhitaji mwenzie zaidi.
 
mengi ana bifu ka *za binti wa kizaramo,anahitaji maombi
 
Watu wa ajabu sana hapa JF.....wengine wako huko busy kumkampenia Manji....halafu baadae wanarudi kuilaani NSSF kwa kulaani kutopata mafao yao in time au kutopata kabisa
 
Manji anapiga kampeni?? Au anapigiwa?? Nani anajua sera zake?? Mtani kuweni makini mtaumia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu wa ajabu sana hapa JF.....wengine wako huko busy kumkampenia Manji....halafu baadae wanarudi kuilaani NSSF kwa kulaani kutopata mafao yao in time au kutopata kabisa
acha u****kwani kuna uhusano gni kati yaNSSF NA YANGA
 
''tunamchagua mwenye vision na mission na ktk hili hatupepesi macho wala kumung'unya maneno'' ni maneno ya kila siku radio one km vile ni recorded ktk kumnadi mgombea wao, acheni hizo mnaboa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom