radio on pc

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
17
habari za mida hii...samahani hivi naomba kuuliza kidogo najua ukiwa na desktop unaweza ukanunua kifaa kimoja ukaweka nyuma ya cpu na ukapata radio viziri bila haja ya internet je kwenye laptop hio kitu ipo au laaaa:shock:
 
Inawezekana;

Kanunua TV/FM tuner kwa ajili ya either Desktop PC au laptop, tofauti ni kuwa ya Laptop TV/FM tuner ya Desktop PC inachomekwa kwenye moja ya slot zilizo kwenye Motherboard wakati ya Laptop inakuwa-connected kupitia USB Ports, nadhani kama upo mji mikubwa kidogo utapata kwenye maduka yanayouza Computer na Vifaa vyake au wapigie simu jamaa wanaitwa Axis Computers watakuelekeza namna ya wewe kutuma pesa na wao kukutumia hicho kifaa. Lakini ni Local Local radio tu ndo utazipata na ni zile ambazo zinasikika katika eneo ulilolopo kwa masafa ya FM.
 
Tafuta external tv tuner hii wakati hyo ilikuwa inauzwa 45,000 sasa sijui itakuwa ngap.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom