Radio kwenye Bajaj & Pikipiki!!!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Pamoja na kwamba wahusika wamefumbia macho swala la kuweka Radio kwenye Bajaj na Pikipiki lakini nionavyo mimi jambo hili linahatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo hivyo na watumiaji wa barabara kwa ujumla..

Nawasilisha..
 
Umekuwa brief mno. Hebu panua zaidi hii argument yako afu uwasilishe tena!
 
nimerudia kusoma nikidhani sijaelewa, ila nadhani mtoa mada hajafafanua vyema hoja yake.
 
Mchina katengenezea sehemu ya kuweka flush disk kwenye piki piki na si redio kama ya kwenye gari
 
Duh hiki ni kituko kwa kweli. Au labda sijaelewa. Yaani pikipiki zina radio? Inamaana huyo mwendeshaji anasikilizaje? Maana ukiwa unaendesha ule upepo na halafu umevaa helmet hivi utasikia nini? Maana hata ukisema uvae microphone inamaana unapunguza ule uwezo finyu wa kusikia chochote km honi nk ukiwa barabarani. Kama haya yapo, basi huenda takwimu za wanaopata ajali kwa pikipiki zitaongezeka.
 
Ni kweli kabisa pikipiki hasa hizi za biashara maarufu kama bodaboda zina redio, tena zina muziki mkubwa kuliko hata mlio wa pikipiki yenyewe!
 
Duh hiki ni kituko kwa kweli. Au labda sijaelewa. Yaani pikipiki zina radio? Inamaana huyo mwendeshaji anasikilizaje? Maana ukiwa unaendesha ule upepo na halafu umevaa helmet hivi utasikia nini? Maana hata ukisema uvae microphone inamaana unapunguza ule uwezo finyu wa kusikia chochote km honi nk ukiwa barabarani. Kama haya yapo, basi huenda takwimu za wanaopata ajali kwa pikipiki zitaongezeka.

hapo kwente red mkuu nadhani ulikuwa unataka kusema headphones...:A S 39:
 
yan kwenye jf kuna watu kama mapoyoyo inamaana hamjui radio zpo kwenye vyombo hvyo ufafanuliwe vp c wendawazimu huu
 
mkuu usighadhabike hizo motorcycle za mchina kuna nchi hazipo wala haziagizwi kabisaaa,so dont blame.ni sisi tu huku ndio soko la kudump hizo toys
 
yan kwenye jf kuna watu kama mapoyoyo inamaana hamjui radio zpo kwenye vyombo hvyo ufafanuliwe vp c wendawazimu huu
Wewe ndio utakuwa Poyopoyo. Hivi unajua kwenye nchi zetu ndio kuna vitu vingi saana vya ajabu. Hebu fikiria kelele za pikipiki, mvua, usalama nk uongeze na radio. Binafsi sijawahi kuona hiyo design na I wish niione maana ili usikie sijiu inakuwaje. Pia kama kila kitu kingekuwa kinajulikana au watu wanafanana, basi JF isingekuwepo.
 
Duh hiki ni kituko kwa kweli. Au labda sijaelewa. Yaani pikipiki zina radio? Inamaana huyo mwendeshaji anasikilizaje? Maana ukiwa unaendesha ule upepo na halafu umevaa helmet hivi utasikia nini? Maana hata ukisema uvae microphone inamaana unapunguza ule uwezo finyu wa kusikia chochote km honi nk ukiwa barabarani. Kama haya yapo, basi huenda takwimu za wanaopata ajali kwa pikipiki zitaongezeka.

tene redio zenyewe zinapiga wayowe km zile sabufa za haohao chi ha xui
 
Pamoja na kwamba wahusika wamefumbia macho swala la kuweka Radio kwenye Bajaj na Pikipiki lakini nionavyo mimi jambo hili linahatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo hivyo na watumiaji wa barabara kwa ujumla..

Nawasilisha..

Tunavyo endesha vyombo hivyo hatukati mauno ukiona abiria nae ameenza kucheza unamkataza anaweza kuhatarisha usalama.
 
Si ajabu siku umempandisha abiria ukaanza kuona anakata mauno huku mkiwa kwenye safari
 
alafu pata picha pikipiki yenyewe imetungwa mshkaki,mziki mnene alafu mnateremka bonde kama la jangwani hivi au kigogo alafu jamaa anapokea cm bila wasi wasi (mwendesha pikipiki)
 
Huwa napata tabu sana nikipakia abiria kwenye tuk tuk alafu niweke wimbo wa Alaji alaji dah i see

Unakosa balance kabisa mauno nyuma huko
Hahaha kwa style hiyo lazima tukukute Muhimbili kwenye wodi ya SANLG umening'inizwa mguu juu
 
Back
Top Bottom