Radio Imaan yaitaja JamiiForums kuhusika na uchochezi wa kidini nchini

Status
Not open for further replies.
Kama ulivyowasema vibaya kwenye comment hii? Mkuu, fikiria zaidi ya hapo bana

afikirie nini na nyie mods mnachekelea watu wanavyoutukana uislam hapa,,,,,posts na koment nyingine za kipuuz kabisa na mnaziacha tu,,,,,,,,
 
Ritz kuna swali nimemuuliza naf pale juu msaidie basi kulijibu naona hana data.
 
Last edited by a moderator:
Wewe hujanielewa nilikuwa najibu post yako. Na wala huu sio msimamo wa JF. Wewe vipi ndugu yangu acha kupotosha.
Btw.. kwa nini wale waliokamatwa mbagala mnaandamana ili waachiwe ili hali waliiba sadaka na komputa kanisani? Halafu acha kumtaja taja invisible hapa unataka unitafutie ban si ndio. Hapa tunajadiliana na hatukashifiani.

Wewe endelea kuichafua JF kupitia mgongo wa dini...JF kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam.
 
Wewe endelea kuichafua JF kupitia mgongo wa dini...JF kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam.

Acha kunipakazia wewe. Tatizo lenu hamjui adui wenu ni nani, wapi ambapo nimepambana na uislam?
Mimi sio kama wewe JF kwako ni kiwanja cha mapambano kati yako wewe na dr Slaa ..
Unaitetea ccm kila saa ila leo hii wanakutandika kama nini ukweli unaujua moyoni kuwa ccm ni wabaya sana . Na ndio maana kule visiwani wamechoma ofisi za ccm. Wewe nakushangaa unaitetea ikikuchapa unahamia kwenye mfumo kristo ambao haupo.
 
Historia ilishawahukumu watu hawa, tokea lini mtoto wa nje ataweza kurithi mali ya baba!!!
 
Wewe hujanielewa nilikuwa najibu post yako. Na wala huu sio msimamo wa JF. Wewe vipi ndugu yangu acha kupotosha.
Btw.. kwa nini wale waliokamatwa mbagala mnaandamana ili waachiwe ili hali waliiba sadaka na komputa kanisani? Halafu acha kumtaja taja invisible hapa unataka unitafutie ban si ndio. Hapa tunajadiliana na hatukashifiani.

Mkuu, wale waliochoma kanisa, kuiba kanisani, kuharibu mali za kanisa na waumini wanasema sio waislamu! Walisema wale ni wahuni, leo waislamu wote wanalalamika watolewe kwa misingi ipi kama wale sio waislam?

Huwa napata shida kutofautisha uislam na vurugu maana ikitokea vurugu wao husema uislam ni dini ya amani na huwakana waliofanya fujo ila wakitiwa hatiani haohao waliowakana huanza kuandamana, hapo huwa sielewi hata kidogo.

Leo waislam wote wanalalamika kuhusu Ponda na Farid, ila wanasahau juzi tu walisema ni kikundi cha wahuni. Sasa hawaeleweki, naomba muislamu mmoja mwenye kushikilia kuwa wale ni wahuni na sio waislamu aje hapa atusaidie kutuelewesha kuwa waliokamatwa wana haki ya kushtakiwa kwani wamefanya uharibifu wa mali na uvunjifu wa amani kitu ambacho wanatakiwa kushtakiwa.

Ajitokeze mtu atakayesema waliochoma makanisa, kuchinja yule askari na kuto vipeperushi mbalimbali vya uchochezi kuwa ni wahalifu na sio waislam! Maana anayetoa uchochezi ni mtu ankuwa na jina linatanguliwa na 'sheikh' na mwishowe waislam wote hulalamika tena wao husubiri sala ya ijumaa, sijui ijumaa huwa wanasali kina nani? Hebu mtu anieleweshe tofauti iko wapi.

Jana nilistushwa sana na jirani yangu niliyemsaidia baada ya kufiwa na mwanae na alikuwa mgeni mtaani hajuani na mtu, nilimpatia laki nne afanye utaratibu wa kuzika mwanaye pamoja yeye na mimi tupo dini tofauti, na akafanikisha shughuli yake, jana namsikia anabishana kwa sauti na mishipa imemtoka akisema yeye anataka tuchinjane tu ili tuheshimiane, kwa ukweli nilijiuliza kumbe naishi na mnyama mbaya zaidi ya simba? Najiuliza tena sijui kama nitaweza kuishi naye kama zamani, mtu anisaidie hapa.
 
Acha kunipakazia wewe. Tatizo lenu hamjui adui wenu ni nani, wapi ambapo nimepambana na uislam?
Mimi sio kama wewe JF kwako ni kiwanja cha mapambano kati yako wewe na dr Slaa ..
Unaitetea ccm kila saa ila leo hii wanakutandika kama nini ukweli unaujua moyoni kuwa ccm ni wabaya sana . Na ndio maana kule visiwani wamechoma ofisi za ccm. Wewe nakushangaa unaitetea ikikuchapa unahamia kwenye mfumo kristo ambao haupo.

Sikupakazii huo ndio kweli badilka wewe ni mkogwe humu JF.
 
Wewe endelea kuichafua JF kupitia mgongo wa dini...JF kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam.

Mkuu Ritz, hilo swali alilokuuliza linahitaji majibu mazito. Kwani we unadhani wale waliochoma kanisa ni kina nani? Wahuni? Waislamu wa mbagala? Kikundi cha waislamu? Au ? Hebu tufafanulie maana mara ya kwanza mlisema wale ni wahuni, likini leo tunashangaa mnasema waachiwe waislamu wenzenu sasa hebu usiwe na jazba toa ufafanuzi yakinifu..
 
Wewe endelea kuichafua JF kupitia mgongo wa dini...JF kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam.

Adui yangu hapa JF sio uslam na hakuna sehem nliyosema hivyo.. Adui yangu hapa JF ni viongozi wazembe. Nape na viongozi wengine ambao dini zao no wakristo wakija hapa na hoja hafifu wanashambuliwa na kurekebishwa licha ya dini zao.
Juzi Sumaye ccm mwenzako alitoka kanisani akaenda kwenye press conference na humu JF watu walimlipua bila kujali dini yake. Sasa udini wangu na upinganji wangu wa islam uko wapi?
Niombe msamaha
 
Sikupakazii huo ndio kweli badilka wewe ni mkogwe humu JF.

Nimekuambia mimi sina kinyongo na uislam. Usinipakazie hapa. Tafuteni adui yenu na adui yenu sio ukristo... Kuna thread kule imeshaanza kuwapa mwanga kujua adui yenu ni nani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom