Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Kweli ni muhimu kuelimika; lakini nadhani pale wanapokosea waambiwe; offline community isipotoshwe na wenye access ya mtandao.Endeleni kusikiliza mpate darsa.
Hata hivyo, watumiaji wa JF hawawezi kuwa na maoni sawa; comment moja kwenye FORUMS inaweza kuibua mjadala lakini haiwezi kumaanisha wote wanaotumia JF (mmojawapo wewe) wanaiafiki comment hiyo.