Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio Imaan yaitaja JamiiForums kuhusika na uchochezi wa kidini nchini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Oct 21, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI JOPO LA WASOMI WA KIISLAM LILIOPO STUDIO. NI WAHITIMU WA UDMS, SUA PIA NI WALIMU WA VYUO VIKUU NCHINI

  Imesemwa moja ya koment iliyondikwa JamiiForums kwamba uchochezi wa kidini.

  Ilidai kwamba waislam wanadanganya kwamba ukikojolea kitabu cha Quran ni kosa..

  MY TAKE. SASA VITA VIMEHAMISHIWA KATI YA VYOMBO VYA HABARI KIMOJA HADI CHENGINE. KESHO UTASIKIA REDIO ZOTE ZA KIISLAM WATAIMULIKA JAMIIFORUMS
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,206
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Uchochezi upi??kwani yule mtoto aligeuka nyoka??...iyo radio ifungwe aisee inachochea machafuko.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 22,136
  Likes Received: 1,620
  Trophy Points: 280
  Wamekumbuka kujitaja kama radio kinara wa uchochezi..?
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 9,116
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Wapi TCRA?
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,004
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  ....nyani haoni.....
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,856
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  hao wasomi ndio wale wa kuteleza juu ya ganda la ndizi
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 29,896
  Likes Received: 4,193
  Trophy Points: 280
  nawasikiliza hapa.... Wanajenga hoja finyu as usually .. Hawana tofauti na mohamed said
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 29,896
  Likes Received: 4,193
  Trophy Points: 280
  lakini kwani yule mtoto aligeuka kuwa panya? Halafu mbona kasoma comment moja tu ina maana hajui maana ya forums????
   
 9. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,955
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  hizi imani za kuungaunga bana....very matatizo aisee,mbona wao walichana bible na kuiba sadaka makanisan hatusemi kitu,shule muhimu sana...
   
 10. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii radio bado haijafungiwa tu?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 29,896
  Likes Received: 4,193
  Trophy Points: 280
  wanachofanya wanachukua vitabu kama vya wale biblia ni jibu wanavitumia kama mifano
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,878
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  uchochezi wao dhidi ya baba wa taifa hawajausema?
   
 13. r

  raymg JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtoa mada kwa jinsi ulivyoandika thread yako napata wasiwasi na Elimu ya hao wasomi, labda funguka zaid wanaishutumu vp JF wakat radio yao ndio kinara wa udini vpnd vyote....
   
 14. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha. Hata hichi cha wanaharakati wa tanzania kuhusu prof mahina?
   
 15. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,095
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  OK,

  Wambie hiyo ni comment moja; JF kuna comments zaidi ya milioni 4.8; na pia kama wanaperuzi JF, basi wasome comment mbili au tatu hapa: Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...
   
 16. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,955
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  aka ******...
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 41,844
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Endeleni kusikiliza mpate darsa.
   
 18. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hao kama kweli ni wasomi mbona wanatazama kwa jicho moja? Msomi siku zote hutazama kwa macho yote mawili, kwa maana nyingine nikwamba walipaswa kuona kwanza uchochezi wa Radio Imani kisha wageukie vyombo vingine vya habari.
   
 19. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jf inahusika kuusema vibaya waislam kwa kejeli
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,951
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Hili hawataacha kulizungumzikia bila shaka!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...