tinomkumbo
Member
- Oct 15, 2011
- 24
- 0
Kilichotokea ni matokeo ya serikali kufumbia macho viongozi wa dini wanaodhani wanaweza kufanya chochote ndani ya nchi hii. Na hivi vyombo vinavyotumika kuenezea chuki katika jamii visipodhibitiwa iko siku itakua tabu. Hii radio Imani imeanza zamani kueneza chuki serikali imefumbia macho n goja na radio za kikristo zianze kueneza chuki dhidi ya waislamu halafu tuanze kuchinjana.