Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

Status
Not open for further replies.
Hivi inawezekana kabisa mtoto miaka 14 akakojolea kitabu cha dini wachilia mbali Qur'an hata ikiwa Biblia?

Je mtoto huo amewahi kukojolea vitabu vyake vya shule au vya mwanafunzi mwenzake?

Kwanini mtoto huyo akojolee Qur'an na isiwe vitabu vya skuli au Bible.

pasi na shaka kuna namna hapo.

Ni vizuri Serikali yeu iangalie chanzo kwanza kabla kurukia huko wanakokwenda. Kumbukeni hilo ni suala la kiimani bila busara mengi yatatokea.

Kumbukeni Qur'an haipo Tanzania tu bali ipo duniya nzima. nahofia sana yasije yakawa kama yale ya filamu ya kumkashifu Rasul Mohammad S.A.W na balozi ya nchi ile.

Kuweni makini sana mnaposhughulikia mambo ya kiimani kama haya.
 
marksalewi hiyo radio sio ya kusikiliza unafupisha upeo wako na mwisho siku utakuwa kama yule ponda ambae hajasoma hata darasa moja
 
Last edited by a moderator:
The Hotest radio station in Tz now on Air.Tunawaaminia Redio Imaan
 
na ww umtemwa na msikiti au cuf?

Soma wwe achaa na madrasa naquran za warabu wa madina wanaobaka vitoto vya miaka 6 ndo awe mtume?

aise naona unapoelekea sasa sipo utawaponza na wasikuwemo unazidisha maneno ya kashfa pima uwezo hasfu mkubwa wewe kenge w kikafiri
 
hii ishu sio ndogo kama inavofikiriwa, quran ndo kila kitu katika uislam, so kwa wasiokuwa waislam kwa kuwa hawaijui thamani ya quran wanaweza kusema kuwa kitu kdg,
jambo jengine ni kuwa wale vijana walianza kubishana kuhusu quran na hatimae ikakojolewa na kutemewa mate udhalilishaji wa hali juu kabisa, na ikumbukwe kuwa busara ilitumika kwani baba wa kijana aliyefanyiwa hiko kitendo alienda kwa mama wa kikojozi kabla ya polisi lakini lugha aliyojibiwa ni kejeli tupu.na hapo ndipo habari zikazagaa na ikumbukwe pia kuwa hili tukio si lakwanza hapa nchini mifano ipo mingi sana tukio kama hili liliwahi kutokea mwanza, bagamoyo tena huko walofanya ni watu wazima sio kijana wa form 2 kama huyu.
my take:radio imaan inaposema kijadiliwe chanzo wapo sahihi kuliko kujadili matokeo
 
Hii Radio walitaka Mkuu awapigie makofi kwa kuadhibu na kuharibu mali za watu wasiohusika si wangeenda polisi aliko yuele mtoto wakachome kituo cha polisi.

Kwa kuchoma kanisa wanamaana kanisa ndio lililo mtuma? too low!

Badala ya mtoto kupata kichaa wakapata wao..!
 
Nani alaumiwe aliyeleta quran toka nyumban ili ikojolewe au aliyekojolea kitabu hcho? Waislamu inatakiwa hata kijana wenu naye mumuadhibu
 
kukojolea qur an na kuchelea kutopata reaction yyte from muslim society ni kuwafanyia dhambi kubwa sana waislam
we as muslims,we r peaceful to somebody who is peaceful to us,we tolerant to somebody who is torelant to us
islam teaches us to respect the rule of law and other religious n ethnic groups in our society
more over teaches us to defend ourslvs,our rights,our women,our dignity n everythin which is lawful in the sight of god
without forgetin lovin n respectin our qur an n our beloved prophet {s.a.w} as much as we love n respect his brother jesus{issa a.s)
 
RADIO YA SHEHEE PONDA IFUNGWE?! Thubutu......

Naomba unitajie kiwango chako cha elimu badala ya kujitapa kwamba wewe umesoma. Halafu, nyie si mnajidai kwamba mnapenda demokrasia na utawala wa sheria? Mbona mnataka redio ifungiwe? I thought mngeshauri kwenda mahakamani na kufungua kesi ili ijulikane kama kweli wanachochea au wanachosema ni sahihi ila nyie hamkipendi! Acheni double standards. Kwani yote yanayosemwa kwenye radio zenu watu wanayapenda Mbona hazifungiwi? Ndio uhuru wa maoni huo!
 
nashangaa leo mnachukia wakati nyie ndio wa kwanza kusema ni chaguo la mungu,,vip sasa...!mmekaa kona mnakubali penalt??sasa tunakomesha ile biashara ya utumwa,,zama za kupokea amri za vatican through muhasham CARDINALI MWENYE MAPENGO ZILIISHIA KWA BROTHER BENJA FISADI,,NCHI HII SASA INAENDESHWA KWA UTAWALA BORA WA SHERIA NA KUFUATA HAKI SAWA KWA WOTE,,MLITAKA CHAI WENYEWE SASA KWANINI LEO MLALAMIKE MNAUNGUA??...HEBU TUACHENI TULE ZAMA ZETU NASISI,KWAN SI KIZAM ZAM??au...:tea:
waambie mkuu, kila kitu na zama zake, tunawashukuru kwa kumpa kikwete kura, tutaongoza nchi kwa kupokea amri toka makka na si vatican. Mtamjua ponda ni nani!
 
Hivi inawezekana kabisa mtoto miaka 14 akakojolea kitabu cha dini wachilia mbali Qur'an hata ikiwa Biblia?

Je mtoto huo amewahi kukojolea vitabu vyake vya shule au vya mwanafunzi mwenzake?

Kwanini mtoto huyo akojolee Qur'an na isiwe vitabu vya skuli au Bible.

pasi na shaka kuna namna hapo.

Ni vizuri Serikali yeu iangalie chanzo kwanza kabla kurukia huko wanakokwenda. Kumbukeni hilo ni suala la kiimani bila busara mengi yatatokea.

Kumbukeni Qur'an haipo Tanzania tu bali ipo duniya nzima. nahofia sana yasije yakawa kama yale ya filamu ya kumkashifu Rasul Mohammad S.A.W na balozi ya nchi ile.

Kuweni makini sana mnaposhughulikia mambo ya kiimani kama haya.


Kati ya miaka 14 na 9 nani mkubwa?

Kama wa miaka 9, alibakwa sembuse 14.

Afu majibu yalishatolewa jana na mkuu wa nchi, kuwa licha lile ni kosa, lakini hakutumwa.
 
Hivi inawezekana kabisa mtoto miaka 14 akakojolea kitabu cha dini wachilia mbali Qur'an hata ikiwa Biblia?

Je mtoto huo amewahi kukojolea vitabu vyake vya shule au vya mwanafunzi mwenzake?

Kwanini mtoto huyo akojolee Qur'an na isiwe vitabu vya skuli au Bible.

pasi na shaka kuna namna hapo.

Wewe hutaki kuelewa au nini? Ina maana hujui tatizo lilianzia wapi mpaka akakojolea KORAN?
 
Waislam wanajua udhaifu wa dini yao, hivyo wanajitahidi kuilinda kwa nguvu. Wajue hilo siyo jibu la matatizo yao. Waongezee watoto kwenda shule.

Waache kuwafungia watoto madrassa kila wakati watawarithisha umasikini wa akili.

Hii ya MB inayonyesha tofauti ya kujua na kuambiwa. Hawa jamaa wengi wanafuata wasiyoyajua tangu enzi za mtume wao.

 
Kwenye michango ya watu wengi hapa kila mmoja anaonyesha anaelemea upande wa imani yake. Na tunapoteza hadhi ya jukwaa hili na kwani ni utafiti gani ulifanyika ukagundua huyo mtoto ni mkristu au dhehebu gani?, je kama mpagani mtajuaje?. Na hatakama na mkristu ndio inamaana kuwa kosa lake yeye lichukuliwe la dini yote? Tuacheni ushabiki tuangalie mustakabali wa Taifa letu:
 
Ushahidi unasema mtoto aliye kojolea alikuwa muislam mwenzao, je wakijua hili watafanyaje?
 
Haya matukio yanaonyesha namna gani waislamu walivo na chuki na wakristu, likitokea jambo dogo tu wanakimbilia kuchoma makanisa na kuharibu mali za wakristu bila kufikiria kidogo nn chanzo cha tatizo. Baada ya kukojolewa msaafu hakuna aliyejiuliza kwa nn umekojolewa au akataka labda huyu mtoto ahojiwe nn kimepelekea akojolee kitabu hicho badala yake wakiongozwa na chuki walirukia makanisa na kuyachoma.
CCM na kikwete walitumia udini kupambana na Slaa kwenye uchaguzi wa 2010, na kuwatumia radio imani na akina Ponda kwa propaganda zao wakitoa ahadi ya kuunda mahama za kadhi, n.k! Uchaguzi umeisha mbegu walichozapanda zimechipua na sasa zinamea, ndipo hapo tulipo sasa! Najiuliza maswali haya anayeweza anisaidie majibu

1.Vurugu za juzi je wakristu wangeamua nao kujitokeza kulinda makanisa na imani yao nini haswa kingetokea?

2.Radio za kikristu kama Radio Maria, Tumaini Sauti ya Tumaini, Safina radio n.k nazo sasa zikaanza kutoa mada au makala za kuukashifu uislamu na viongozi wa serikali na viongozi waislamu, je serikali itazifungia? na ikizifungia itatoa maelezo gani ya kushindwa kuifungia radio imani ambayo imekuwa ikikashifu ukristu kwa muda mrefu sasa??

3.Kardinali, na maaskofu na mapadri na wachungaji na viongozi wa kikristu wakianza kuwahamasisha waumini kupambana na waislamu na kuyalinda makanisa na mali zao kwa gharama yoyote na kuhubiri uanaharakati haramu kama anavoeneza Ponda na mashehe wengine je serikali itawakamata? ikiwakamata itaeleza kwa nini ilishindwa kumkamata Ponda na wenzie ambao wamekuwa wakifanya hivo kwa miaka?

4.Waislamu haswa wanadai nn? wanataka kutangaza jamhuri ya kiislamu? wanataka wakristu wahame nchi?wahamie wapi?? au ni haki zipi wananyimwa??

5. Chuki hizi za waislamu ni kweli kabisa ni za kiroho kwa udhati wake au zinasukumwa na siasa?au na vikundi vyenye misimamo mikali kama alqaeda, al shabab, islamic jihad, taleban, n.k?

6.Kama taifa nini sasa tuende kukifanya kuliokoa taifa hili na vita ya kidini ambayo kwa maoni yangu kwa sasa ni kama time-bomb ambalo anytime litalipuka na kulimaliza taifa hili!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom