Radio gani inatangaza bunge online?

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Wana jf nataka kufuatilia mjadala wa bunge kwenye radio zinazotangaza online,arushamambo naona kimya!nyingine ni ipi?
 
hata mm nashangaaa tbc wenyewe wamepotea kulikon hawataki tujue kinachoendelea
 
Back
Top Bottom