Radio Clouds hawajaufurahia ushindi wa CHADEMA?

Clouds wanafiki, hawajiamini wanauma Kwa magamba wapo, wanajiita peoples station mbona wanapinga peoples power??????????????????? hasa Kibonde, huyu jamaa kila kitu anajifanya anajua, wadau nipeni cv yake........


Kasomea chuo kikuu cha U mc huko mabibo Mikorosheni na ana degree ya chekecheo aliyoipata katika chuo kimoja huko kimanzichana
 
Hivi bado mnawasikilizaga tu hao jamaa? Mbona redio zipo kibao tu mjini hapa tena safi kabisa! Waacheni wasikilize na wake zao maana wanajifanya ni tawi la wakereketwa wa magamba! Nilitaka kununua king'muzi cha startimes ila nilipokuja kujua na wao wamo nikabadili mawazo nikalipia tu dstv yangu na maisha yanaendelea!
 
Kuhusu clouds hawa ni wanafiki na mashofga. Ukimwita sugu atoe maoni kuhusu clouds na akina kibonde ndo utajua ukweli halisi. Mgawo wa upendeleo wa fedha za epa kutoka mafisadi wa ccm 2010 ndio ulimkimbiza gardner g habash.
 
Mimi ni mCCM damu. Nawapa cdm hongera nq naomba 2015 ccm tushindwe. Tukao nje ya system, tujirekebishe ili tuwe tumempa mtoto wembe ajikate. Akilia tunarudi tukiwa sagi. Mnaonaje wadau?
 
Mimi ni mCCM damu. Nawapa cdm hongera na naomba 2015 ccm tushindwe. Tukae nje ya system, tujirekebishe wakati huo tuwe tumempa mtoto wembe ajikate. Wakati analia tunarudi tukiwa safi. Mnaonaje wadau?
 
Paul James Swea amesema kuwa eti leo ni vyema,kwenye dondoo za magazeti,kwa leo kuweka siasa pembeni.Clouds ni CCM damu na ni wanafiki.Na bado!

Kesho itawahusu watafurahi watazisoma wapende wasipende hawajui kusoma alama za nyakati cause hata uelewe mdogo kuwa magazeti ya leo yalipochapishwa matokeo ya jumla ya Arumeru Mashariki yalikua hayajatoka!

Pepoooooooooooooooooooooooooooooooss Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:yo::rockon:
 
Anayewaharibia pale nihuyu Kibondo maana jamaa ukiongelea sayansi yumo, ukiongelea siasa yumo tena ni expert kweli kweli, ukiongelea mpira yeye ndiyo anajua, ukiongelea mgomo wa madaktari yeye anajifanya ni msaidizi wa mtoto wa mkulima, ukiongelea mafuriko ni mtaalaam wa hali ya hewa, ukiongelea barabara na misongamano ya magari dar hapo pia amebobea, ukizungumzia maji yeye anadegree ya kuchimba visima, yaani huyu jamaa huwa anajifanya anajua kilakitu mpaka anaharibu! Hivi kuna mwenye CV YAKE japo tumfahamu hata kidogo kielimu maana ninavyojua mimi watu wenye maneno mengi namna hii mara nyingi elimu zao huwa zinawalakini
 
Mimi ni mCCM damu. Nawapa cdm hongera na naomba 2015 ccm tushindwe. Tukae nje ya system, tujirekebishe wakati huo tuwe tumempa mtoto wembe ajikate. Wakati analia tunarudi tukiwa safi. Mnaonaje wadau?

Acha kutunafikia wewe, umeshaona shetani anamsifia mtu akiacha dhambi??? Pita kushoto, kufa na gamba lako.
 
hao na wenyewe ni magamba tu wanajipendekeza sana hebu hona wezao east africa television hadi wametoa tangazo la kumpokeza kijana kweli wamesibitisha ni channel ya vijana lakini hao clouds wako kifedha zaidi
 
people's..............WATU......power,,,,eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............................................
 
historia inatengenezwa tanzania kama kwingineko afrika hii hii. uamuzi ni wetu, watengeneza historia hiyo, kuchagua upande upi. kwa vyovyote vile, upande wowote utakaouchagua, historia hii hii tunayoitengeneza itakuhukumu!! na mwenye mambo haambiwi tazama!
 
Back
Top Bottom