Radar: Wabunge mlioko london mnajidharirisha.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Wabunge hawa walioko London mliokimbilia huko baada ya kusikia BAE imeamua kutaka kutoa kupitia NGO's mnajidharirisha
kwa sababu nyie kama wabunge mmilishindwa kufanya kazi yenu kusimamia kodi za wananchi mpaka leo zimeliwa na wajanja
na pili baada ya kugundua kuwa pesa za wananchi zimeliwa mkashindwa tena kuibana serikali kuwachukulia hatua wahusika wa
liosuka deal hili na kibaya zaidi bahadhi yao akiwemo chenge mnao bungeni mnacheka nao kila siku leo hii mnapata wapi jeuri
ya kuja London kuidai BAE wakati mmeshindwa kuwabana viongozi wenzenu kurudisha pesa walizoiba ktk sakata la Radar.
SHAME ON YOU SHAME ON YOU SHAME ON SHAME ON YOU SHAME ON YOU.
 
Back
Top Bottom