Sielewi hii serikali ya CCM? Si waliitisha tenda hao wahindi wakashinda? Sasa kama kuna rushwa PPRA waipitie hiyo tenda wawashtaki wahindi kisha serikali iwatetee tuone. Tenderer au supplier awajibishwe alete risiti aliyonunulia na faida aliyopata kwani hakulipa kodi serikalini?
Chenge si kawashika wote serikalini kwenye naniii watasema nini
Sasa siri ipi iliyofichuka na hayo yote yanajulikana!
Huwa mnakosa yakuandika, hayo yamejaa humu JF miaka kadhaa sasa.
ndio hivo sasa chukua gazeti lako mkononi uende mahakamani kama waziri alivyosema ....nakutakia heri katika kesi yakoushahidi ndio huu ulioanikwa hapo gazetini, unataka ushahidi gani zaidi ya huo ambao unataja njia zilizofikisha rushwa kufichwa kwenye mabenk huko uk na majina yako hadharani, kama ni kuonewa watuhumiwa wangeshtaki waliowaanika hadharani.